Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Jiongeze cha bure salamu tu....si angeniambia tu mapema kama anauza yy hatoi bure
Uwanja wenyewe kufagia bure, kutupa taka hela
Jiongeze cha bure salamu tu....si angeniambia tu mapema kama anauza yy hatoi bure
khaaaaaaaaaaaaaaaaa mmmh wanaume na nyie hv mkojehabar zenu members
Weeken moja nliamua nikanyooshe miguu kidogo nione mji mpya (maana nimeamishiwa mkoani) nikaenda ufukweni nilikaa huku nashushia maji yangu tu baridi (maana mm sio mtumiaji wa bia) pemben alikaa mdada wa kiarabu mzuri tu hapo hapo ikabdi nijiongeze maana genye zilishaanza kupanda kichwani nikapiga story na dogo then nikamuomba namba ya simu akaanza kujisemelesha unajua smartphone yangu nimeiacha nyumbani maana mda wote yy alikua anatumia tochi (sim hua sio kipaumbele changu kwenye kusaka papuchi) kwahiyo nikawa namuitikia anipe tu namba maana nilikua nakaribia Kusepa akanielekeza na anapokaa
weeken hii ijumaa kwakua ilikua sikukuu nikampigia tuonane basi nikamuambia ww panda daladala tu ukifika stand utanishtua (huku daladala kama tax yan mnaeza kupanda watano tu hamna masuala ya daladala kujaa) doh cha ajabu akaniwakia mm sio wa kupanda dala dala nikaona sio shda nikamwambia chukua basi boda boda ikulete hm mm ntalipa ukifika hapo ndo akakubali huyu dada anapokaa naeza nikasema middle na lower class people ndo wanaish so kitendo cha yy kukataa dala dala kilinishangaza
basi bimdada akafika akaingia gheto baada ya mda nikaanza kuomba mchezo hapo hapo utafikiri nilimruhusu atangaze shda ghafla akaniambia hana smartphone imepotea mwez wa tatu huu,kodi yake ya chumba inakaribia kuisha ikabd nikubali tu ili nipewe papuchi baada ya mech akataka tudiscuss ntamsaidiaje shda zake nikamuahidi subiri mwanzon mwa huu mwez december (ujinga ambao nisingeweza kuufanya yan dem mara ya kwanza unanipa bill zaidi ya laki 4 sio kama sina bali ni ungekua ujinga
tatzo sasa huyu dem ananitafuta kweli nitimize ahadi zangu sometym anakuja hadi ofisin huku mkoani nisipomtafuta kwa sim kitu kingne ameniomba 30k anashda nayo yan hii pembeni ya kodi na hela ya smartphone
mm acha tu niwe mwanaume suruali lk sichuniki kirhisi tu,,jipangen sana na wadada mnavokuj kuomba hela
ahahahaha baada ya kupata papuch wanaume jamaniToa maelekezo getini, asiruhusiwe kupita
Papuchi hatukupeana ofisini, why aje ofisini!ahahahaha baada ya kupata papuch wanaume jamani
ahahahahahaha tutawafuata huko huko maofisin ndo akili zikae sawa maana mnakwepa huduma sikuhz papuch mnataka lakin kuwasaidia wanawake shida ndogo ndogo mnakuwa wagumuPapuchi hatukupeana ofisini, why aje ofisini!
Shida ndogo ndogo! 400,000/single show unaita shida ndogo ndogo! Bora nibaki na nyege zangu! Huyu nikimla mara 3 Si atataka Block 1 la UDSM Hostel?ahahahahahaha tutawafuata huko huko maofisin ndo akili zikae sawa maana mnakwepa huduma sikuhz papuch mnataka lakin kuwasaidia wanawake shida ndogo ndogo mnakuwa wagumu
Kwa hiyo vinauzwaWakati wa vya bure ushaisha
Ahahaha!!!Mwambie tuu kua huna mambo yaishe,wala usijipe tafran ya nafsi,ulimuona mapema sana ni mwanamke wa aina gani na ukakubali kumuonyesha mpaka kwako bila hata kufikiria mara2,sasa umesha pata unachotaka unaanza kumsomesha,mwanamme kweli hua hazungushi maneno mwambie huna ajipange..ila sikunyengine chukua type yako nna imani wapo..
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaShida ndogo ndogo! 400,000/single show unaita shida ndogo ndogo! Bora nibaki na nyege zangu! Huyu nikimla mara 3 Si atataka Block 1 la UDSM Hostel?
Huyo sio Mwa J kweli? Huo mkoa ni Lindi?
Mwa J ni hataree sana, wenyeji wote walindi wanamfahamu.... Ni kimeo.Hata mm sikupiga papuchi nawasiliana nae tu. Ananipiga zinga daily ya money
Ila nasikia baba yake ni mshirikina sana na ana majini na atamsumbua huyu jamaa mpaka hiyo hela ataitoa.Mwa J ni hataree sana, wenyeji wote walindi wanamfahamu.... Ni kimeo.
So huwa anatege wageni pale beach
Kale kauarab kalimchanganya jamaaa..... .Ila nasikia baba yake ni mshirikina sana na ana majini na atamsumbua huyu jamaa mpaka hiyo hela ataitoa.
Tatizo yeye amekurupuka kuchukua tu mwanamke bila kuuliza vizuri...naona kapenda zile nywele ndefu.
Hajajiuliza mwanamke anakaa mwenyewe beach kila siku kuanzia saa 2 hadi usiku kbs na hanaga kampani.

Hahaahaaaa ,,,msomee alibadri huyo ,,Maana hajui Kula na kipofuhabar zenu members