Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

ulimuonyesha kwako na kazini ili iweje? ndiyo madhara yake atakusumbua mpaka umpe hiyo hela
 
Ukitaka Kula lazima uliwe sasa wewe unataka kula tu
 
Sasa wewe mbona umeomba kyuma mapema???? Y yeye asikuambie shida zake acha ubahili hakuna cha bure zaidi ya salamu
Ule msemo wa Jakaya ndio utatuponza naona sijui kwa nini aliamua kuusema mbele ya halaiki.

Kwamba ukitaka kula sharti ukubali kuliwa na wewe dah...., noma saaaana.
 
Nishamjua huyo atakuwa mwajuma shupaza wa lindi ndo anapendaga kujitega beach kule
Atakung'ang'ania mpaka ukome dada deki
inawezekana ndo yy kanidangaya jina labda
 
Siku za mwanzo goma usilipeleke mjengoni kwako.

Anakuja hadi ofisini inamaanisha ulimpa details zako muhimu zote. Pia inamaanisha hana aibu wala staha kuna siku atakuanzishia varangati hautategemea.

Rookie mistake.
 
Back
Top Bottom