dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,065
habar zenu members
Weeken moja nliamua nikanyooshe miguu kidogo nione mji mpya (maana nimeamishiwa mkoani) nikaenda ufukweni nilikaa huku nashushia maji yangu tu baridi (maana mm sio mtumiaji wa bia) pemben alikaa mdada wa kiarabu mzuri tu hapo hapo ikabdi nijiongeze maana genye zilishaanza kupanda kichwani nikapiga story na dogo then nikamuomba namba ya simu akaanza kujisemelesha unajua smartphone yangu nimeiacha nyumbani maana mda wote yy alikua anatumia tochi (sim hua sio kipaumbele changu kwenye kusaka papuchi) kwahiyo nikawa namuitikia anipe tu namba maana nilikua nakaribia Kusepa akanielekeza na anapokaa
weeken hii ijumaa kwakua ilikua sikukuu nikampigia tuonane basi nikamuambia ww panda daladala tu ukifika stand utanishtua (huku daladala kama tax yan mnaeza kupanda watano tu hamna masuala ya daladala kujaa) doh cha ajabu akaniwakia mm sio wa kupanda dala dala nikaona sio shda nikamwambia chukua basi boda boda ikulete hm mm ntalipa ukifika hapo ndo akakubali huyu dada anapokaa naeza nikasema middle na lower class people ndo wanaish so kitendo cha yy kukataa dala dala kilinishangaza
basi bimdada akafika akaingia gheto baada ya mda nikaanza kuomba mchezo hapo hapo utafikiri nilimruhusu atangaze shda ghafla akaniambia hana smartphone imepotea mwez wa tatu huu,kodi yake ya chumba inakaribia kuisha ikabd nikubali tu ili nipewe papuchi baada ya mech akataka tudiscuss ntamsaidiaje shda zake nikamuahidi subiri mwanzon mwa huu mwez december (ujinga ambao nisingeweza kuufanya yan dem mara ya kwanza unanipa bill zaidi ya laki 4 sio kama sina bali ni ungekua ujinga
tatzo sasa huyu dem ananitafuta kweli nitimize ahadi zangu sometym anakuja hadi ofisin huku mkoani nisipomtafuta kwa sim kitu kingne ameniomba 30k anashda nayo yan hii pembeni ya kodi na hela ya smartphone
mm acha tu niwe mwanaume suruali lk sichuniki kirhisi tu,,jipangen sana na wadada mnavokuj kuomba hela

.