Wanawake mtajiuga kwa presha...must read

Wanawake mtajiuga kwa presha...must read

nahisi baada ya kusoma alichoandika mumewe kamoyo kake kalipoa kama kamemwagiwa maji ya baridi
 
if the relationship between the two of you as husband and wife is working well why should you do all this aggh! no need of worrying who is he with at whatever time , umekutana nae akiwa na meno yake 32 if he decides to cheat you can't tell either nakula zangu bata yanini kujiumiza kichwa maisha yenyewe haya akhaa
 
Ana beep fire, anategemea apigiwe. mapenzi hayajaribiwi.
 
Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha! Mwanamke huyo akaamua kuandika barua inayosema "Samahani mume wangu, nimeamua kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya
mbali na wewe" Barua hiyo akaiweka juu ya meza iliyokuwa chumbani.
Baadaye jioni, muda wa Mumewe
kurudi mwanamke huyo akajificha chini ya uvungu wa kitanda mule chumbani Mume alipoingia chumbani akakuta ile barua juu ya meza, akaisoma kisha, akaandika maneno fulani kwenye ile ile barua, harafu akaanza kuimbaimba kwa furaha huku akipiga miluzi na akiwa anavua nguo.
Akapiga simu na akasikika akisema hivi "hello mpenzi, nina raha sana leo.. yule mwanamke nuksi amesalenda mwenyewe kaondoka na kutuachia uwanja, jiandae nakuja" Muda huo huo Mume akaondoka.
Mwanamke alipokuwa uvunguni akawa anatoka lakini amenyong'onyea na amelowa mashavu kwa machozi.
Akasogea pale ilipo barua na akataka kujua mumewe aliandika kitu gani kwenye ile barua.
Akakuta maneno haya "nimeona miguu yako uvunguni, tafadhali andaa chakula nina njaa sana mumeo, ila nimetoka kidogo nafuata maziwa nilisahau kupitia.

Nakupenda mke
wangu"

MSPENDE KUJARIBU VITU VISIVYO JARIBIKA
 
eh umeniua mtu wangu..ila kuna mmoja hapo juu (jina simtaji) kasema ataijaribu cku moja...Tafadhali muonyeni akifanya hivyo asinitaje mwelezeni wazi aelewe.Mimi nikirudi nikakuta Nke kaondoka nna hamia kwa huyu
beer_13838.jpg
adi atakaporudi .Kuddadeki unacheza na plan B.
Mleta mada neno mtajiuga manake nini
 
mmh, vitu vingine ni kujitia presha,unaweza kufa bure.
 
Back
Top Bottom