Nauliza hivi, mwanaume asiye na maneno ya kimahaba huwa anamaanisha nini? Yaan kwake gf/ mkewe ni sawa na watu wengine tu. Anavyoongea na gf wake ni sawa aongeavyo na watu baki
Jamani ya dunia mengi, mnapoulizwa mko wapi mtu anataka kujua usalama wako kila siku mnaona watu wanauliwa mara ajali, ni vizuri mwenzio ajue uko upande gani wa mji.