Na kweli...!!!Basi Sawa.....
Kwanini?Na wewe kuna mtu anakuita my carpet!!!!!! tehe tehe tehe
nadhani ungemjulisha na mkeo kuhusu mambo hayo ya kupenda penda aache kukupenda wewe duara.Mkuu mimi nina mke na namheshimu na yeye ananiheshimu sana nimeandika maana wanawake mnahaingaika sana na mapenzi
Wewe umejuaje sijamwambia.nadhani ungemjulisha na mkeo kuhusu mambo hayo ya kupenda penda aache kukupenda wewe duara.
Labda ningeuliza umejuaje humu ndani hatujui ulipoleta mada yako? Kama umemwambia poa.Wewe umejuaje sijamwambia.
Yani nami nina tatizo la kupenda sana nini dawa yake? Kupenda kidogo au kumzuga mtu uwa siwezi embu mleta mada nipe mbinu nami niwe mbadidu.....
Labda mwanaume wewe. Ila sisi wenzako tunathamini tupendwapoWanawake mnajifanya mnapenda sana wanaume mwisho wa siku mnaishia kuumizwa.
Yaani uhusiano kidogo mtu anakukaa moyoni mpaka basi kila mara kupiga simu mara kuulizia amekula nini kumtambulisha kwa marafiki yeye kwanza hana habari na wewe.
Imefikia kipindi wanawake mmekuwa wahongaji kuzidi wanaume mpaka mahari mnatulipia, mkishaumizwa mnaanza kulialia na kubadilisha status WhatsApp mara am single Mother na ujinga mwingine.
Kuweni makini na mahusiano ya siku hizi sisi wanaume ni miduara hatutabiriki msipobadilika mtaendelea kulizwa kila siku.
Yangu ni hayo tu upendo wa kweli ni wa mama tu.
aise mi yenyewe najua kupenda sana naina onyesha tunaendana njo tulijengeEeeeeh daaah kwangu hiyo ni automatical yan huwa sijui kupenda kidogo na kwel nkiumizwa huwa naumia sana tyu but siwez kuacha kupenda sana sabu ni hulka yangu
Nimejaribu nashindwa......sema tu pia nina uwezo wa ku recover mapema baada ya kuumizwa....Umeshaambiwa wao ni viduara so mpendwa wacha Mara moja