Wanawake msipende sana, mtaishia kuumizwa

Wanawake msipende sana, mtaishia kuumizwa

Kukuulizia muda wa kula siyo lazima awe anakupenda. Ni mtego wa kukuchuna kesho.
 
Kwenda huko...kuumia ndio kujifunza wacha niumizwe 😀😀😉😛
 
Wamekusikia na wakaka watakaokutana nao wakitaka kula kama hawajui kupika watakula mawe.
 
huo ndo ukwelii japi tutaubezaa mi hakaa napenda kwa mitego nkiona napenda mimi tu sheee naruka kesi kama maasai ebbooh
 
Tena ukimkuta ambaye umri unasoma alarm daah! Huwa wanaingia kichwakichwa unamkanyaga siku ukimweka blacklist ful kudata

mmhhh huyo kaanza mapenzi uzeeni, hujui wanawake nao sahivi hawajipunji wanapenda eat and run wakiwa na hamu ukiweka cjui red list anakucheka tuu
 
Molembe ndugu yangu,usiombe mwanamke asikupende!usiongee hivyo Mungu anaishi atakupa binti utakae mpenda alafu yeye hana time,hata akikukubali just bongo movie.
 
Ni kweli mana tangu nimeanza kutongoza totoz sijawahi kuchinjiwa baharini na bahati mbaya kila ninayekuwa naye naulizwa ndoa lini yaani ni full kugandwa.acheni kupenda ghafla kiasi hicho pengine lengo la mwanaume ni kuonja ladha yako tu.
labda ua unatongoza bar maids
 
Wanawake mnajifanya mnapenda sana wanaume mwisho wa siku mnaishia kuumizwa.

Yaani uhusiano kidogo mtu anakukaa moyoni mpaka basi kila mara kupiga simu mara kuulizia amekula nini kumtambulisha kwa marafiki yeye kwanza hana habari na wewe.

Imefikia kipindi wanawake mmekuwa wahongaji kuzidi wanaume mpaka mahari mnatulipia, mkishaumizwa mnaanza kulialia na kubadilisha status WhatsApp mara am single Mother na ujinga mwingine.

Kuweni makini na mahusiano ya siku hizi sisi wanaume ni miduara hatutabiriki msipobadilika mtaendelea kulizwa kila siku.

Yangu ni hayo tu upendo wa kweli ni wa mama tu.

mwanamke akipenda muheshimu, usicheze na upendo wa dhati wa mwanamke, ogopa sana chozi la mwanamke - jilinde usiwe sababu ya mwanamke kutoa chozi la majonzi. hapa nazungumzia wanawake wenye pendo la kweli na sio wachunaji........
 
mmhhh huyo kaanza mapenzi uzeeni, hujui wanawake nao sahivi hawajipunji wanapenda eat and run wakiwa na hamu ukiweka cjui red list anakucheka tuu
hao wa eat and run ndio wale walio na uhakika na umri kwamba bado unaita.

Lakn kuna wale umri umesonga halafu hajawahi kutamkiwa ndoa, aisee wanahaha mpaka huruma, sasa ukimtamkia ndoa na ukamtambulisha kwa baadhi ya ndgu yaan huyo anahamia kwako kabisa lakn wakat huo hajui kuwa umemuweka kama ngome ya mda
 
Ni kweli mana tangu nimeanza kutongoza totoz sijawahi kuchinjiwa baharini na bahati mbaya kila ninayekuwa naye naulizwa ndoa lini yaani ni full kugandwa.acheni kupenda ghafla kiasi hicho pengine lengo la mwanaume ni kuonja ladha yako tu.
Wewe cmp acha kumbwelambwela hapa kuonja ladha umeambiwa chungwa hilo,khaa watu wengine sijui wakoje acheni kuwadisvalue akina dada
 
Back
Top Bottom