pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 913
Haya
Unaalika majirani wakusaidie kuyachota, Uchoyo sio mzuriUnawapotosha Mkuu. Hakuna Mwanaume Miaka Hii Anayejitambulisha Kwa Wazaze Wa Mke Kabla Ya Kugegeda.
Nani Anataka Kununua Mbuzi Kwenye Gunia? Lengo Kuu La Ndoa Ni Tendo La Ndoa Lenye Raha. Unaoa Mwanamke Hujamfunua? Ukikutana Na Kisima Kimejaa Maji?
Ataruka ukuta hadi lini? Itafikia muda nayeye atahitaji kuwa na kwake aanzishe familia,he he! hata uwape njia 10000000... watakuja tu maana hakuna sheria kali hapa duniani kama sheria za kimazingira! nature will talk GENYE will make her come to me! usione mtu anaruka geti nakupita viunzi vya ulinzi si pepo ndugu wajua.. kumbuka when they have one we have more than one!
mkuu lbd uwaambie wazingatie uzazi wa mpango na kinga tu
Sasa hilo ni tatizo jengine, lakini ukiangalia kwa uwiano utagundua waliotambulishwa na kuolewa ni wengi zaidi ya wasiotambulishwaUnaweza ukaonyeshwa wazazi na mahali mkapokea na bado ukaingia getho kwa matumaini na ukakimbiwa tu.njia sahihi lia na mungu wako tu wadada,wakaka mungu yupo usijaribu muombe haswa kila mmoja kwa imani yake
Sakayo wacha uoga, Mzazi hawezi akampa mtoto wake nyoka ingali aliomba samakiHawa watu hawatabiriki kabisaa, mie huwa nabaki kuamini mume mwema anatoka kwa Bwana. Akija kama sio wako, sio wako tuuu maana Mungu lazima akuonyeshe baadhi ya dalili mbaya ukimganda unalo janga hilo
Futa comment yako kabla miss chagga hajaiona...Kama ni hivyo wasituombe hela maana hata sisi tuna future na hela zetu
Pa1Unaweza ukaonyeshwa wazazi na mahali mkapokea na bado ukaingia getho kwa matumaini na ukakimbiwa tu.njia sahihi lia na mungu wako tu wadada,wakaka mungu yupo usijaribu muombe haswa kila mmoja kwa imani yake
mkuu hizi enzi za wazazi zilishapita.......kwanza cku hzi wanawake wengine ndio wanaanza kutaka mchezoNi Rahisi zaidi kumjua Mwanaume aliyefall in Love
na mwili wako na sio moyo wako kuliko
kumtambua MZee wa Kichaga kwa pozi lake la
kutembea, suruali zake za kushonesha, miguu
myembamba na gari yake aina ya Pick Up kwa ajili
ya kubebea nyasi... Unataka kujua nani ana future nani hana???
Msikilize maongezi yake...Msikilize Priority zake....Msikilize
anakuomba nini kwanza mnapoanza tu...
Msome
tamaa zake machoni...halafu kataa kupanua
miguu...
UTAONA WAZI WAZI....Haihitaji kupiga ramli
wala kikombe cha babu wa Samunge...
Mwanaume anayeomba usujudie kitanda chake
cha gheto kabla hujaona sura za wazazi wake
muogope, Future yako itamezwa na kuta 4 za Gheto
lake na usitegemee zaidi...You wanna know a Real
Man with a future with you??
CLOSE YOUR LEGS
NIMEMALIZA..!!
Unawapotosha Mkuu. Hakuna Mwanaume Miaka Hii Anayejitambulisha Kwa Wazaze Wa Mke Kabla Ya Kugegeda.
Nani Anataka Kununua Mbuzi Kwenye Gunia? Lengo Kuu La Ndoa Ni Tendo La Ndoa Lenye Raha. Unaoa Mwanamke Hujamfunua? Ukikutana Na Kisima Kimejaa Maji?