Wanawake msipagawe na magari

Suala la kupagawa na magari halina jinsia
 
Mzazi gani kapigana kajenga uchumi mzuri then aje aruhusu mwanae aolewe na mtu hueleweki, wapo wanaoruhusu lakini naamini ni shingo upande tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi,hapa duniani kuna mtu anapenda umasikini kweli? Lawama zingine kuwaonea kina dada.
 
Mzee wangu yaliokukuta na mm yalinikuta 😂😂 tutafute hata Passo tu ilituende nao sawa.
 
Kwani kuolewa na mwenye kipato cha chini ni guarantee ya kutojuta?

Acha watu wafuate ndoto zao. Wewe saka hela kujiweka sokoni sawasawa na Mola atakujaalia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…