Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,320
ha ha ha maskini anaumia bureshosti nilicheka alipo sema mimi nimeasirika na wewe pia umeasirika hapo tuu ndio nikajua huyu sie kabisa.....
ha ha ha maskini anaumia bureshosti nilicheka alipo sema mimi nimeasirika na wewe pia umeasirika hapo tuu ndio nikajua huyu sie kabisa.....
Ahsante,apana unajua sikujua ile pesa alitumwa niyamtu au hata kama yake haikua jasho langu,na dua ya mwenye kudhulumiwa mwenyezi mungu huipokea,sasa njia ya kumpata mwenye ipo sikuona sababu ya kuchukua pesa yake..Duh! Pole Ila Na Wewe Usamaria Umezd Kipimo
asante shosti wema huwa mbaya menzangu saanyengine.
Pole sana dada ila mume anauma u know
mke huyo anasema mumewe ameasirika lol,yani duu.Nimeona neno virusi sehemu!!! 😀😀😀
Ameen...Usijali my dia umefanya lilo sahihi...allah atakulipa kwa wema wako!
ha ha ha maskini anaumia bure
Unajua huyu jamaa alipokuja kuchukua mfuko wake nilimwambia plz hesabu kahesabu nikamwambia ziko sawaAise, ila una moyo mzuri tu,
Changu kingekuwa ni hela, simu ningeirudisha maeneo yale yale niliyoikuta.
Huyu mwanamke kazidi yani anaongea kama cherahani yanayo khusu na na yasio khusu,kwanza huyo jamaa yako kama hujui anatumia dawa za kikongo usione anajua kusugua bure ni dawa hizo na mimi ndio nilompa leo anajitia ki***m yani gazeti.Hahahah umenikumbusha zamani nilikuwa nina hasira mtu apokee simu sio yake.
Basi bwana mwenye simu na aliyepokea simu majina yanafanana halafu ni ndugu, sasa sauti ya muhusika naifahamu, namwambia namtaka fulani (nataja jina), ananiambia ndio mimi, kila nikisema sio wewe yeye anabisha, "nilishusha mafuriko ya maneno mabaya" hakutegemea nikamwambia kama kakutuma uchezee akili yangu siku nyingine hutarudia.
Duuuh huu ndio ulikuwa mwisho wa kuongea hovyo kwenye simu, maana nikaitwa kutambulishwa yule nilomtukana, nilitambulishwa vizuri utapenda,"kaka fulani huyu ndo fulani mke wangu mtarajiwa"(hapo nyumbani washapeleka posa washapangiwa mahari ndo wanajipanga wapeleke), nae akajibu, "anhaaa, nashukuru kukufahamu, lakini si ndio huyu ulozaa nae" akajibu ndio basi kaka yake akamalizia, "kama ndio huyu nafurahi sana maana nilishasikia sifa zake kabla, anafaa"
Mimi macho chini pale nikaanza tena kuomba samahani, nashukuru alikuwa muelewa akanisamehe na hakuna aliyejua zaidi ya sisi watatu, ila nilijifunza sana siku ile(huyu ndugu yake alikuwa anaishi mbali hivyo sikuwa namfahamu kabla na jina nilishatajiwa ila nilisahau). Sitarudia teeeeenaaaaaaaa
Pole mkuu, ukosefu Wa akili name busara ndio matokeo take hayo
kama wasemavyo "tenda kheri ulipwe Shari" Pole kwa hayo madogo...ila naona hawakufanya shopping siku hiyo !!?!! Nimefurahi kwa kula halali yako, Wema wako utaukuta huko mbele....!!Unajua huyu jamaa alipokuja kuchukua mfuko wake nilimwambia plz hesabu kahesabu nikamwambia ziko sawa
kasema ndio nikamwambia haya kwaheri,nimemuache hapo kaduwaa nimeondoka.
yani hata sikuyauliza yani nimepokea simu kwa bashasha matokeo yake unaambulia matusi sema hakua na jipya hata moja yote ndio yale yale ya zamani anaya rejea rejea tuu...kama wasemavyo "tenda kheri ulipwe Shari" Pole kwa hayo madogo...ila naona hawakufanya shopping siku hiyo !!?!! Nimefurahi kwa kula halali yako, Wema wako utaukuta huko mbele....!!
Mamndenyi mali ya hivo haidumu hata siku moja!! Dunia bado ina watu wema jamanii... na baraka zipo nyingi..!!
" Makamu yako kwa Moula imepanda daraja " wewe kumkaaliya kimya ndo umemaliza !!yani hata sikuyauliza yani nimepokea simu kwa bashasha matokeo yake unaambulia matusi sema hakua na jipya hata moja yote ndio yale yale ya zamani anaya rejea rejea tuu...
Kimnya dawa." Makamu yako kwa Moula imepanda daraja " wewe kumkaaliya kimya ndo umemaliza !!
Nimeona neno virusi sehemu!!! 😀😀😀
Unajua huyu jamaa alipokuja kuchukua mfuko wake nilimwambia plz hesabu kahesabu nikamwambia ziko sawa
kasema ndio nikamwambia haya kwaheri,nimemuache hapo kaduwaa nimeondoka.