NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
- Thread starter
- #81
Kuna watu na viatu duniani pole na hongera kwa kumvumilia endelea kuwa na moyo wa ivo.
Ahsante sana Mkuu..
Kuna watu na viatu duniani pole na hongera kwa kumvumilia endelea kuwa na moyo wa ivo.
Nooo!! ni mke wa mwenye simu na wallet,nadhani mume alimwambia mke kua simu imepotea sasa alipopiga nikapoa mie ndio mvua ya matusi akaniporomoshea,lakini later alipo piga mumewe alikua mstarabu sana na ile wallet ilikua na ID yake
na PW alinipa akanambia kuna picha hii na hii....
its okay, yule mwanamke nimemsamehe nakumuonea huruma juu,manake anaonyesha wazi kua amekalia kuti kavu kuanguka si ajabu.Ohoooo okay sorry sikuwa nimeelewa mwanzoni. Hapo alifanya makosa. Msamehe bure. Inaonekana hajiamini ndani ya ndoa yake
Hahahah umenikumbusha zamani nilikuwa nina hasira mtu apokee simu sio yake.
Basi bwana mwenye simu na aliyepokea simu majina yanafanana halafu ni ndugu, sasa sauti ya muhusika naifahamu, namwambia namtaka fulani (nataja jina), ananiambia ndio mimi, kila nikisema sio wewe yeye anabisha, "nilishusha mafuriko ya maneno mabaya" hakutegemea nikamwambia kama kakutuma uchezee akili yangu siku nyingine hutarudia.
Duuuh huu ndio ulikuwa mwisho wa kuongea hovyo kwenye simu, maana nikaitwa kutambulishwa yule nilomtukana, nilitambulishwa vizuri utapenda,"kaka fulani huyu ndo fulani mke wangu mtarajiwa"(hapo nyumbani washapeleka posa washapangiwa mahari ndo wanajipanga wapeleke), nae akajibu, "anhaaa, nashukuru kukufahamu, lakini si ndio huyu ulozaa nae" akajibu ndio basi kaka yake akamalizia, "kama ndio huyu nafurahi sana maana nilishasikia sifa zake kabla, anafaa"
Mimi macho chini pale nikaanza tena kuomba samahani, nashukuru alikuwa muelewa akanisamehe na hakuna aliyejua zaidi ya sisi watatu, ila nilijifunza sana siku ile(huyu ndugu yake alikuwa anaishi mbali hivyo sikuwa namfahamu kabla na jina nilishatajiwa ila nilisahau). Sitarudia teeeeenaaaaaaaa
sipati picha siku hiyo ulikuaje.
Nilikuwa mdogo kama nukta vile
hasira zikitangulia akili huwa zinafata baadae...samehe bure
litakudatisha hadi weweThis is Point. . . . Ila hilo toto uliloliweka kama avatar likiwa likubwa litawdatisha wengiii. . . . . ! !
litakudatisha hadi wewe
Duhhh hongera sana kwa moyo ulionao mungu akubariki ni wachache sana wenye moyo huo!!!
Duh! Pole Ila Na Wewe Usamaria Umezd Kipimo
Mie mbona ningezichukua, ananitukana Kwa wema Wangu kisa chake?
nshakufollow binamuNipo insta now binamu at warumi _
Ameen.Duhhh hongera sana kwa moyo ulionao mungu akubariki ni wachache sana wenye moyo huo!!!
Huyu nilimuonea huruma sana,nilihisi hajiamini mpaka amechanganyikiwa,its not normal mtu anapokea simu hata salam hutoi unaanza kutukana yani jee angekua mamake mzazi au mkwewe?Wanawake wengine akili zao mbovu Sana , wanahitaji kupewa fundisho ili wajue good manners.
Mkuu nyuki sikuzote huponzwa na asali yake,na watu kama hawa hua nawaonea huruma sababu unagombana na mtu hata kesho akipita hapo humjui sasa mie na ignore,as long as niko mzima kwa mwenyezi mungu lipo fungu langu...Mie mbona ningezichukua, ananitukana Kwa wema Wangu kisa chake?
litakudatisha hadi wewe
binti angu huyo...Embu tuanzie hapa,.... una mahusiano nalo ya damu au ndo avatar tu picha za kwenye Internet??