NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
- Thread starter
- #61
poleeeee
Ahsante...
poleeeee
Nooo!! ni mke wa mwenye simu na wallet,nadhani mume alimwambia mke kua simu imepotea sasa alipopiga nikapoa mie ndio mvua ya matusi akaniporomoshea,lakini later alipo piga mumewe alikua mstarabu sana na ile wallet ilikua na ID yakeHahah sasa kama alikuwa na bifu na mwenye simu na alikuwa anajua hiyo ni simu yake na alipanga kumtukana ulitaka aanza na.... shouger mambo? Mzima? Familia? Haya we hayawani nisikize tena unsikize uzuri mxiichexxx... nakwambia shcxxxf kabisa?
Mi nlidhani alokutusi ni huyo alopoteza vitu vyake kuwa kakutusi akidhani umeviiba!!
anauma kuliko kristapen
wivu ndugu wivuaaah umenikumbusha hii sindano daaa!!! nilichomwaga hakuna rangi sikuona, hivi bado zipo eeh? manake sitaki kuzisikia kabisaBack to the point: inaonekana jamaa malaya sana mpaka mke hamuamini anamhisi hisi tu kila wakati
najitahidi shosti siunajua tuna watoto ndugu sasa ukifanya baya ujue litakurejea,na hujui yule jamaa pesa yake au kakopa
au alitumwa ..
Aise, ila una moyo mzuri tu,
Changu kingekuwa ni hela, simu ningeirudisha maeneo yale yale niliyoikuta.
hizi bahati sijui kwa nn zinawafwata watu wasioziitaji..uliokota wapi mkuu na mm niwe najipitishapitisha area hizo
Lol Mkuu apana ile pesa nisinge mpata mwenyewe ningeitoa sadaka police nisinge ipeleka,lakini mwenyewe yupo dhambi sana kumdhulumu mtu na dua ya kudhulumiwa mungu anaipokea haraka sana..Nimeamini hela kwa mangi ndio yake kipindi hiki unarudisha hela yenye thamani ya vitz kiulaini hivyo
Amesema Ahsante...Unamoyo wa huruma sana ilitakiwa akupe hata asante kwa kumrudishia vi2 vyake salama
Ahsante,huyu mwanamke niseme ni wale wa sijui ametoka wapi hata i cant explain,anatukana kuna maneno mengine anasema hata sifahamu anasema nini nilimwacha aseme tuu...Pole watu wapo tofauti.kuna wanawake akikupigia simu usipopokea message itakayofuata utatamani ardhi ipasuke uingie.
Ahsante.du! pole
Naelewa kua mume anauma sio peke yake mwenye mume lakini unaanzaje kumtukana mtu wala hujui alitaka kusema nini,nilimwelezea rafiki yangu akanambia nyama kapewa aso meno,yani mkewe amekutukana kwa hisani umepokea simu ili urejeshe pesa tena pesa kama mimi ningemwambia sasa kula jeuri yako pesa nachukua nakumtukana juu, nimeishia kucheka tuu..chezea mume ww??
Rudia tena Mkuu kusoma kwa utulivu .Sijakuelewa ulichoandika