wanawake msikitini!!!

wanawake msikitini!!!

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,014
Reaction score
684
imamu kawaambia wanawake mckitini,anaeteswa na mumewe kati yenu asimame,woote wakasimama kasoro mmoja tu kabaki amekaa. imamu akamwambia"mashaallah wewe huteswi na mumeo"? akajibu,"kanivunja miguu cwezi hata kusimama"!!!
 
Msikitini huwa hawakai wanawake na wanaume sehem moja sa sijui imamu alipataje kuwaona hao wanawake??
 
Mkuu umeleta kichekesho kizuri, lakini tukukumbushe kuwa wanawake na wanaume wanakaa vyumba tofauti msikitini.
 
itakuwa baada ya sala imamu alihitaji kuongea na wanawake! kwahyo imamu alikuja upande wa wanawake
 
Msikitini huwa hawakai wanawake na wanaume sehem moja sa sijui imamu alipataje kuwaona hao wanawake??

ina maana hata sauti ya imam hawaisikii? Au kuna kuwa na maimum wawili wakati wa swala?
 
Mzaha kwenye dini hakunaga, achaga hizo utakuja udondokewe uchapwe bakora.
 
imamu kawaambia wanawake mckitini,anaeteswa na mumewe kati yenu asimame,woote wakasimama kasoro mmoja tu kabaki amekaa. imamu akamwambia"mashaallah wewe huteswi na mumeo"? akajibu,"kanivunja miguu cwezi hata kusimama"!!!
Hainaa maana ! Labda ungesema Kanisani, Msikitini kuna nidhamu na kuna mipaka. Wanaposwali wanawake, mwanaume hawezi kufika wala kuwaona ! Jipange Mgalatia !
 
Huyo mdada alo kaa amenihuzunisha sana jamani!
 
Mkuu umeleta kichekesho kizuri, lakini tukukumbushe kuwa wanawake na wanaume wanakaa vyumba tofauti msikitini.
Ndo hapo itabidi tujue maana ya jokes,maana angezungumzia uhalisia isingechekesha hata!labda niulize imamu wa kike anaitwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom