Wanawake msikengeuke kisa eti mmefika chuoni ama una Degree

Wanawake msikengeuke kisa eti mmefika chuoni ama una Degree

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,128
Wale wadada wasioisha kudharau wanaume wasio na elimu ama wao hawawataki ama wanashangaa na kuwacheka rafiki zao wenye wapenzi wasioenda kidato wanapaswa kupata somo kutokakwa mwandishi nguli wa vitabu Eric James Shigongo.

ERIC JAMES SHIGONGO ANA MKE MWENYE ELIMU YA MSTERS LAKINI YEYE ALIKOMEA DARASA LA SABA TU. ALIKUWA AKIONGEA VOICE OF AMERICA KWENYE STRAIGHT TALK TO AFRICA ON AFRICAN WRITERS.

KAMA HAITOSHI HATA DARASANI ALIKUWA NDIO KILAZA WA DARASA KWAKUSHIKA MKIA NA HATA KUPATA SIFURI KIASI MPAKA AKAWA AMEPEWA JINA LA MADASO( hili ni neno la kisukuma likimaanisha nguo iliyoisha na kuchakaa ambayo haifai tena kuvaliwa, kwa kiswahili rahisi ni sawa na tambala, na jina hilo kwa haraka haraka katika kisukuma linamtambulisha shigongo kama mtu asiye na faida yoyote).

Mabinti wapendeni wapenzi wenu bila kujali hali yao kama mlishakubaliana toka mwanzo, just fight for life.

Hizi habari za kukengeuka kila kila mnapofika chuo na kujiona mmesoma sana na kuwatupilia mbali wapenzi wenu kisa wao hawakupenya kufika chuo ama hawakusoma si suluhisho la mapenzi wala maisha.

Stori nyingine ni inspiration kwa vijana na hapa si mahala pake.
 
saivi degree si big deal tena., kama bado kuna wanao kengeuka nazo basi jua ni warugaruga sana.

,,tupo nao mtaani huku, ma jobless. Wanatusumbua tu.
 
Shule muhimu bana kwenyevkumpa mtu uekewa mzuri wa kimausha sema tu wengine wanasoma lakini hawastaraabiki na kuelimika hali inayo wapa kujiskia dharau na majivuno na ulimbukeni hata wee mwanaume jiendeleze kupata maarifa si kuna elimu ya watu wazima na ma qt kibao
 
saivi degree si big deal tena., kama bado kuna wanao kengeuka nazo basi jua ni warugaruga sana.

,,tupo nao mtaani huku, ma jobless. Wanatusumbua tu.
hujanielewa, namaanisha hivi. wasichana wakijashaingia chuo tu kama kipindi hiki wamedahiliwa utasikiaa kilio mtaani kinaanza cha wapenzi kumiminwa kisa anajiona kapanda quality na huyo wa zamani hamtaki tena ama hajafaulu kuingia chuo ama alikuwa na elimu ndogo. matokeo na mategemeo ya elimu hilo ni jingine
 
education is nothing, elimu si lolote , kuifanya kuwa factor ya kuwacha mpenzi wako kisa unepanda kidato. kukengeuka huku hakuna maana yoyote, si unaona wife wa shigongo ana masters na jamaa ni muuza karanga tena la saba na ndio alikuwa kilaza wa darasa kwa kushika mkia. mapenzi yasiharibiwe na elimu, mafanikio huja tu kama ukiyapigania
 
Hapo nakubaliana na wewe nadhani ni kutokujielewa tu hasa kwa ma first year kutokana na habari walizo jazwa kuhusu chuoni na imagination kibao wakifika chuo unakuta hamna kitu pia na uelewa wa mwanamke mwenyewe kama ana kupenda kweli ata settle ndo kama kiruka njia kamwe hawezi settle hiyo ni tabia tu ya mtu wala haihusiki na elimu na akili ya mtu anavo weza kupelekeshwa mawazo kulingana na mazingira
 
Thank you so much kwa kuiibua hii issue Mshinga! Jamaa kanivutia na kuni-inspire sana kwani nimekisikiliza na kukitazama kipindi cha leo cha VOA straight talk to africa! Kwa kweli jamaa ana elimu kubwa sana ya maisha practically na wala siyo theory wanazokuwa nazo watu wawapo vyuoni!
He is an Inspirational asset to the present and future generation! Nimefurahi kweli jamaa alivyo muwazi na maisha yake ya zamani!
 
Last edited by a moderator:
Digrii za sasa ni zakuchambia mavi choon,tunao mtaani wanapiga miayo tu..
 
hujanielewa, namaanisha hivi. wasichana wakijashaingia chuo tu kama kipindi hiki wamedahiliwa utasikiaa kilio mtaani kinaanza cha wapenzi kumiminwa kisa anajiona kapanda quality na huyo wa zamani hamtaki tena ama hajafaulu kuingia chuo ama alikuwa na elimu ndogo. matokeo na mategemeo ya elimu hilo ni jingine

nimekuelewa na ndicho nlichojibu.
Whether u r pursuin a degree course or a graduate. Its not a big deal. Wanao badili lifestyle chuo na kuishi maisha yasiyo yao na kuwabwaga boyfriend zao kwa vile wako chuo hao ndo marugaruga zaidi.
 
Umenikumbusha wale wadada WA benki wanavyojiskiaga kisa wana degree wanafanya kazi kwny ofisi safi,wanapulizwa na ac
 
hujanielewa, namaanisha hivi. wasichana wakijashaingia chuo tu kama kipindi hiki wamedahiliwa utasikiaa kilio mtaani kinaanza cha wapenzi kumiminwa kisa anajiona kapanda quality na huyo wa zamani hamtaki tena ama hajafaulu kuingia chuo ama alikuwa na elimu ndogo. matokeo na mategemeo ya elimu hilo ni jingine

Hilo nalo tatizo tena wachache sana wanaoweza kuvumilia na kurudi tena kitaa kwa wapenzi wao!!!
chuo ni kuopoa tu vijana wavaa ALL STARS lol.....
 
Wasomi wako mtaani sio chuo. Huwezi ukajiita msomi wakati bado kuna supp na disco mbele yako zinakunyemelea.

Nyenyekea upige shule kwanza ukimaliza ndo ujiite msomi.

Unakuta kidada cha chuo kinariiiiiiiinga, kisa kipo chuo. Fikra mgando kabisa.
 
saivi degree si big deal tena., kama bado kuna wanao kengeuka nazo basi jua ni warugaruga sana.

,,tupo nao mtaani huku, ma jobless. Wanatusumbua tu.
BIG LIE! Hamna kitu kibaya sanaa kama UJINGAAAAAAA! MTU MWENYE DEGREE ASIE NA KAZI SI SAWA NA RAS SIMBA DIPLOMA UNTD! Kabisaaaaaaa
 
Wanawake wenzangu SMENI SANAAAAAA! USIKU NA MCHANAAAAAA! SOMA MPAKA UBONGO USEME STOOOOOP! Hususani watoto wa wakulima, na nyie waendekeza FREE PUMBU maana mtasuguliwa pumbu hatariiii, na msipewe kitu cha maana chochote. Hahahahaaaaaa! Ila kama una ki Masters chako aaaaah hata buzi likikwambia njoo nikuweke hapa CREDENTIALS UNAZO UONGOOOO? Umeula hujaulaaa? Inahuuuuu? Au bosi akikupiga Pumbu kuna promotion unamshika hizo hizo pumbu na jicheti lako waitaka promotion atachomokea wapi?

Lakini usiposoma UTAISHIA KUJIKOMBA KOMBA KWA HAWA WANAUME WENYE VIDEGREE KAMA MLIVOVIITA WENZETU WAKATI SIE WANAWAKE WASOMI WENZAO TUNAWAONA FREE P TU NAO VILE VILE, ATANIAMBIA NINI WAKATI GPA NAMZIDI, BODI WANANITAMBUA TUKISIMAMISHWA KWENYE INTERVIEW WATUWASEME SU NAMPOTEZAAA MBAYA, YEYE VIMTIANI VYA BODI VINAMJAMBISHA JAMBISHA! Hahahahaaaaaaaa! It is really pathetic usiposoma UNASHOBOKA MAMBO MADOGO SANAAAAAA, mno mno mnooo mpaka unajiabisha ! amu juziile point ya kamradi kako ka research, NIMRI na Elizabeth Glacier ILINISIKITISHA SANAAAAA! Hahahaaaaaaa!

Hata kama huna kazi unaishi kwa matumaini IKO SIKU UTAPATA, na hata unavofanya biashara zako tofauti kabisaaa na APECHE ALOLO, hata utoaji wako wa hoja mbele za watu tofauti kabisaaaaa! Na hata uendeshaji wa familia tofauti kabisaaaaa! PIA ELIMU INAKUPA CHANSI LA KUJISHAUAAAAA MWENZANGU NA KUWACHAPA WATU BAKORAAA! Unakuta kidume kinajishebudua nina Masters ya Arts huko (MASTERS NI MASTERS LAKINI OOOOOH) Unamtiza kama mpira wa kona, ACTUALLY NA MIMI NINA MBA,Plus nimeapply Phd, prbably next year naanza! THE EXPRESSION IN HIS FACE WILL BE PRICELSS, manake si alikuona mchovu tuuu! sasa kama Ras Simba hapo ndugu lazima ukiss his big black a.ss

ISITOSHE UKISOMA U GET TO MINGLE WITH HIGH CLASS AND INFLUENCIAL PEOPLE! Hawa watoto wakishua rahisi zaidi kukutana nao shule na kujenga bond, kuliko mtaani. plus wanakuheshimu sanaaa. Hata shule ikiisha you get to keep the connections.

MSICHANA KAMA HUTAKI KUWA MTU WA HOVYO HOVYO USIKIMBIE UMANDE NENDA SHULEEEEEE, HATA AKILI HUNA OKOTEZA OKOTEZA UTAFIKAAAA TU!
 
Last edited by a moderator:
umepigwa chini nini mdau?acha mtu awe na mwanaume wa level yake,mambo ya kujipa moyo cjui shigongo kafanya nini yalishapitwa na wakati,pambana!...
 
lara 1
wewe lara1 naona umeamua kutoa ushauri kwa wadada, sawa lakini haya yanajibu mada yangu? pili ni halali wasichana KUJIONA ni high class kiasi cha kuwatosa wapenzi wao waliotoka nao mbali kisa hawajafaulu? ama hawana elimu?
 
Last edited by a moderator:
Degree kitu gani unaweza kuta mtu hajasoma ila ana uelewa mpana wa maisha binafsi siangalii kigezo cha kua una degree au ushuzi nachotizama unafaa kua mume???? Kwenda darasani si kuelemika waweza soma.madarasa yote still bichwa likawa empty!!!!😡😡😡
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom