Mfurahie kwa kumfurahisha mume wa wako

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,525
22,017
Mfurahie mume wa ujana wako daima

Ushauri huu unawahusu wadada wote mliopo katika ndoa halali......

Usingoje kila wakati mumeo aanzishe mapenzi, we mchombeze tu kimapenzi utapata kilicho chako.

Unapo mchombeza, unamfanya ahisi kuhitajika na kupendwa.

Kumchombeza kwa maneno matamu kunapaswa kuwa kidonge chako cha usingizi na kahawa ya asubuhi.

Ikiwa unangojea kila wakati mumeo wako achukue hatua ya kwanza, unamfanya awe na shaka kama anakuridhisha.

Mwanaume kuomba ngono katika ndoa ni fedheha. Usiharibu kujiamini kwake.

Kwa mambo ya mapenzi, jaribu kuwa mkarimu kupita kiasi. Ulikubali kwa furaha kuolewa na kuishi naye maisha bila masharti.

Uhusiano wenu mkiwa wenzi wa ndoa humpendeza Mungu. Kwa maana imeandikwa, Msinyimane - 1Kor 7:5.

Usilale mzungu wa nne na mumeo.

Hebu mfanye mumeo amfurahie mke wa ujana wake na kulewa na upendo wako (Mithali 5:18-19).

Mnapobembelezana, huzuni hukaa mbali na maisha yenu. Ukaribu wako huweka adui mbali na familia yako.

Barikiwa
 
Subiri waje
 
Kwa sisi waswahili tunasema ukiona mke kaongeza uchangamfu ujue katoka kukupiga tukio
 
Aaaah Ila kweli inapendeza sana mchombezane atiiii
 
Back
Top Bottom