WANAWAKE MNAYOKAA TU MAJUMBANI JIONGEZENI:

WANAWAKE MNAYOKAA TU MAJUMBANI JIONGEZENI:

Wewe ambaye huangalii season Mashamba yako ya mchicha umelima wapi?
wewe ambaye huangalii movie unautajili upi ebu tuwekee hapa,
ww ambaye huangalii movies mkeo ana mashamba ya mbogamboga?
EBU ACHENI KUWAPA WANAWAKE MAJUKUMU AMBAYO HAWAKUPEWA NA MUNGU;
Kazi ya mwanamke ni kumfurahisha mmewe, kujipodoa na kuiandaa kwa ajili ya usiku! wakati anamsubiri mmewe shart ajiliwaze na movies
Sawa. Aliyenielewa amenielewa kiuhakika.
 
Kujishughulisha mwanamke ni sahihi kabisa ikitokea mume kafa ghafla mwanamke wala hawez gawa papuchi kuudumia watoto
 
Back
Top Bottom