Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

Mhhh! wabongo bana!
Mbona jamaa wa kimasai wengi hawavai Nguo za ndani wala suruali na muda mwingine Madude yao yananinginia,
mama zao na dada zao wanavaa zile bangili za miguuni hatushangai, na tunawasifu kweli jinsi wanavyobeba uAfrika wao!
wengine tunawapigia kelele kweli na kuwadhalilisha!
Hizi Double standards zatoka wapi??
 

Waache wanawake waishi kwa raha zao. Wewe inakuhusu nini mwanamke akiamua kuonesha maungo yake? Acheni kufuatilia maisha ya watu.

 
Kiazi mwingine huyu,,we unafuata maadili au dini yako inasema hivyo?usiwe unafikiri kwa MASABURI
 

Unaonaje kwenye maoni ya katiba ukashauri wanawake wote tuwe tunavaa mahijabu na kuachia macho tu kama waislamu. Nafikiri hii itasaidia kuwa same understanding ya nguo ndefu, kuficha viungo (as if macho sio kiungo), na kulinda utu!
 
Awe mfano wa kuigwa na nani?...kuna mahali popote kuna nukuu hii au umejisemea tu??
uige maisha/tabia za mtu zinakuhusu nini??

Mbona huvai kimini ukiwa na wazaz wakog?ni ushamba wa kugeza kila kitu..na usijidanganye km ndo unatutega wanaume mi ntakutamani nikutumie km kondom then cwez oa m/mke mwenye hzo mambo nivalimie mimi mme wako unamuonyesha mat.a.k.o nani au mapaja?
 

Mbona mnakatazwa kanisani kuvaa vimini km ni nguo za heshima?mtageza sna Umagharib kwan sasa hiv hakuna tofaut ya mnyama na binadam wote wapo uchi by da way ujana na ushamba ndo unawasumbua
 
Last edited by a moderator:
Mbona huvai kimini ukiwa na wazaz wakog?ni ushamba wa kugeza kila kitu..na usijidanganye km ndo unatutega wanaume mi ntakutamani nikutumie km kondom then cwez oa m/mke mwenye hzo mambo nivalimie mimi mme wako unamuonyesha mat.a.k.o nani au mapaja?

Mbona umenivalia njuga? Habari za kunitumia kama kondom zinatoka wapi? Siku nyingine usidandie treni mbele!
Tena koma kusema wazazi wangu hujui kama wapo hai au wamekufa. Never quote me in any post, tafadhali sana!!
 

Nawahurumia sana wanao!
 
sawa furahisha nafsi ila usishangaze jamii inayokuzunguka pia Suprise!unaweza tazamwa kama umependeza pia waweza tazamwa ukiwa kituko mbele za watu,mi kuna umri ukifika sina budi kustopisha vimini vya kutisha kwa sasa twende kazi!

Kwanini ustopishe ukifika huo umri!
 

Unadhani kama kuna jamii au mtu anafanya jambo fulani bila kusemwa ndo linakuwa limehalashwa?
 
Kaunga inamaana unataka kuniambia hujui ninachoongelea mpaka unaniambia macho?
'
Am suprised!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanini ustopishe ukifika huo umri!

umri unakua ushaenda hata nikivaa sidhani kama nitapendeza inavyostahili,zipo nguo za umri huo bana ambazo nikivaa basi wakodoaji wataendelea kukodoa tu!
 
HoneyBee ,hivi inahitaji uwezo gani wa kujua kuwa ni ufupi gani ninaouzungumzia hapa?
'
Hebu acha masikhara,Binadamu alie na uwezo mdogo tu wa kufikiri anajua kabisa maeneo gani hayatakiwi kuonekana barabarani,na yoyote akionekana huenda atakua ana matatizo ya kufikiri.
'
Mambo haya yanaeleweka na wewe unajua kabisa ni wapi mwili wako unatakiwa usitiriwe.
'
Kwanini unavaa nguo?
 
Last edited by a moderator:
umri unakua ushaenda hata nikivaa sidhani kama nitapendeza inavyostahili,zipo nguo za umri huo bana ambazo nikivaa basi wakodoaji wataendelea kukodoa tu!

So kwako kuonesha maungo yako ndo kupendeza?Na unavaa kwaajili ya watu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…