heshima ni mavazi?????....hao wanaowamwagia maji ndo wenye tatizo kwasababu huwezi kumlazimisha mtu afanye utakavyo wewe.....mavazi ni suala binafsi ni kama choice ya chakula....huwezi kukasirika eti kwasababu mtu anakula kitu usichokipenda......watu bado mnaishi kufurahisha jamii??
Anaetembea na kuonesha maungo yake bila aibu ni mwenye matatizo ya akili pekee.Huyo kama haoni aibu atakuwa na mushkeli kwenye kufikiri kwake!
Swala la kujistili si la wanawake walioolewa peke yao bali ni la wanawake wote na hao wanaovaa mavazi ya kuoneshe sehemu zao/maungo basi wanazizalilisha ndoa zao!
NyotaMalaika ukienda kwenye nchi ambayo kuvuta bangi ni kosa na ulikotoka ni halali,utavuta?
Mi nina uhakika yeyote anaevaa mavazi ya nusu uchi atakua hajiamini Kama yeye ni mwanamke mrembo na anahitaji watu wamuone kuwa yeye Yupo na ni mrembo hivyo kwa kuvaa kwake nusu uchi na watu kumwangalia kwa mshangao yeye anaona yuko safi sana.hao ni wa kuonea huruma kwani wana vidonda kwenye ubongo na wa kivaa nguo za kusitiri miili Yao basi wanasikia maumivu makubwa sana kwenye ubongo

Little Angel plz stop!
NyotaMalaika ,unadhani ni kwanini serikali imekataza uvutaji wa bangi?
Mi nina uhakika yeyote anaevaa mavazi ya nusu uchi atakua hajiamini Kama yeye ni mwanamke mrembo na anahitaji watu wamuone kuwa yeye Yupo na ni mrembo hivyo kwa kuvaa kwake nusu uchi na watu kumwangalia kwa mshangao yeye anaona yuko safi sana.hao ni wa kuonea huruma kwani wana vidonda kwenye ubongo na wa kivaa nguo za kusitiri miili Yao basi wanasikia maumivu makubwa sana kwenye ubongo
Inakataza kwa kuwa ni hatari kwa afya ya binadamu.Now do u get my point?