kama nguo alieivaa yuko okay nayo na anajisikia vizuri mtu mwingine anakereka nini?!....standards hizo za mavazi haya yanafaa haya hayafai kaweka nani?!
Kama mumewe hajamkataza acha avae, pengine wote wanapenda.
Binafsi sidhani kama kuna umuhimu wa mtu kukereka na mavazi ya mtu mwingine ambae hamhusu hata kidogo (sio mke, ndugu wala rafiki yako) maana kila mtu na mambo yake. Wewe unayoyaita maadili pengine mwenzio hayajui wala hayamhusu, kimaadili kwao wanafunga kaniki fupi tu chini na maziwa wanaacha wazi. Leo hii anakuja mjini, anajitahidi kujifunika kwa kiasi chake we unamsema kuwa anaenda KINYUME na maadili bila kufikiria kwamba maadili yako sio lazima yawe yake yeye.
yuko okey nayo??????? Wakati akija kukaaa anafunika na kimkoba chake??
ovious kumbe hujawi ona... Kila avaae nguo za namna hiyo, akikaa lazima kipima joto kifanye kazi ya kufunika.. Si mpaka mtoa mada aseme mkuumtoa mada hajasema walifunika na mikoba.....na si kila anayevaa nguo fupi anajifunika na mkoba akikaa....
i meant asilimia kubwakila anayevaa?!??....you are totally wrong......maybe in your society but in mine hell nooo.....
Ama kweli kukua kwingi kuona Mengi!