Wanawake mnawachukuliaje wanaume waliowatoa bikira?

sidhani kama ina apply kwa wanawake wote Maana Mimi Kuna Mmoja Nilimtoa Bikra...ile ishu ya yeye kutolewa Bikra na Mimi ikavuja, basi yule Binti ananichukia Mpaka Leo!
 
Mimi wote nilio wavunja lango kuu hakuna aliye wahi kunisahau na hata walio olewa huwa hawaishi kuomba marejesho

hahaha basi ulikuwa na dushelele kubwa so umewaachia shimo kubwa watu wengine wakienda wana pwaya. lazima wakutafute
 
Sidhani kama hili la bikra ni jambo kubwaaaa kama baadhi ya watu wanavyo lichukulia,Hii kitu ni sawa na vipindi vingine vya kawaido anavyo paswa kupitia mwanamke au msichana - mfano kuota chuchu,,mavuzi,navinginevyo,kwahiyo swala la bikra kutoka nilazima itoke iwe kwa kuingizwa kidole,kwa kuendesha baiskeli,kubakwa.Hii ni natural ya mwanamke. kizuri nikwamba kila mmoja anachukulia kwa uelewa wake
 
Sio kweli mkuu bikra inaheshima yake mpaka kwenye vitabu vya dini kumtoa binti bikra ile ni kufanya nae maagano hivyo hata ikitokea akaolewa na nwingine kule inakua ni picha tu ila mume wake wa halali niwewe uliye mvunja kikombe
 
Sidhani kama hili la bikra ni jambo kubwaaaa kama baadhi ya watu wanavyo lichukulia,Hii kitu ni sawa na vipindi vingine vya kawaido anavyo paswa kupitia mwanamke au msichana - mfano kuota chuchu,,mavuzi,navinginevyo,kwahiyo swala la bikra kutoka nilazima itoke iwe kwa kuingizwa kidole,kwa kuendesha baiskeli,kubakwa.Hii ni natural ya mwanamke. kizuri nikwamba kila mmoja anachukulia kwa uelewa wake
Umesema kweli
 
Kuna mmoja kati ya niliovunja bikra zao amesikia nimerejea anasumbua sana, ataka mgegedo, namwambia wewe si ushaolewa huelewi kabisa yani.
Anasema nimgegede tu, yeye ndo ataridhika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom