Ngoja nikanywe Valuer kwa hii kitu hapa chini dah......Mama Kubwa naomba mi niwe wa kwanza kwenye hiyo RED.....lalalalalalaaalal:hippie:
Kwa nini Ikunda? Mi sijatokea Kongo...LOL:nono::smile:
Rose wauaaaaa.....Jinsi ulivyoumbika suraaaaaa!
Rose wauaaaaa.....mimi mwenzie sipendi tenaaaaaa!
mwone vile...............mpana km pazia la senema......vp kesho utakwepo panapo makutanoooooooooooo????????hommie ngoja nikachekee nje we bana we mchokozi....
babu babuuuuuuuuuuuuuu michitak uchokodhiiiiiii....Rose si ndio yale majina yetu yale? (Utulivu sifuri?):nono::nono::nono:
mwone vile...............mpana km pazia la senema......vp kesho utakwepo panapo makutanoooooooooooo????????
mich ya!!!
Ukirudia nakutwanga server ban!
hahahaha dah mbona unagonga Ikulu wewe....pazia la sinema.....hahahahaha
Nipo kijijini nakutaftia mama..........
usisahau kuniltea pilipili ukja mjin!!!!!!!
Nilipokwenda
Kwa mjombaaa,
Nilikutana na binamu yangu.
Na kwa kweli
Tulipendana
wazazi wetu walitukatalia tusioane.
Eti kwa sababu....yeye mtoto wa mjomba..
Ndivyo ilivokuwa vigumu kwetu kufunga ndoa
Wazaziiiiiii ninasema (wasemaaa)
Nasononeka... kwa vile msichana (msichana ) Nilimpenda....
Utampata wako mwingine naye utampenda,
Mtoto wa mjomba kufunga ndoa si vizuri
Gurumo mwacheni aitwe Gurumo..... Bazi lililoimbwa hapo wacha kabisa.
Hivi kumbe kumega mtoto wa mjomba ni sumu?
Hapa alikuwa na bendi gani hommie DDC ama Msondo?