Wanawake mnatupaga namba ili iweje???

Wanawake mnatupaga namba ili iweje???

me huwa nafuta tu namba, na akijilengesha tena nampa tu ukweli kuwa HUSOMEKI.

maisha yanaendelea.

wanawake ni wengi kuliko wanaume.
 
Ila wew, yaani akikuuliza kuwa mbona unampotezea, unajibu kazi nyingi wakati si kweli,,, jibu ni kuwa huwa hupokei simu,,,,, mwambie ukweli sio kuficha ficha

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom