Wanawake: Mnapendea nini mwanaume anaeweza kupika?

Wanawake: Mnapendea nini mwanaume anaeweza kupika?

Nyinyi wa dot com mtasumbua sana,Tutafute pesa ili muendee kwenye starehe Tuwapikie ili mjiachie kitandani,,,

Semeni kweli mlijisahau mkamuachia majukumu beki tatu sasa leo hamjui hata kupika..
 
nakumbuka juzijuzi alinitembelea Dada mmoja ndugu yangu akanikuta napika alishangaa kusema ha unajua kupika we we! nikamwambia bac washa hill jiko lingine songa ugali tuendelee kuongea,alipoweka unga tu ilibidi nimsaidie mana tungekula tofali,
wengi wao hawajui kupika wamelelewa na mahousegirl,kama huna bajeti ya house girl ukioa huyo utaipata
 
Napenda mtafutaji na mwenye kumwelewa mwanamke alie nae(mimi) yani udhaifu wangu.kasoro zangu na kipi kinaniudhi au kunipa furaha etc! Ukijumlisha na tutavyopendana na uaminifu wetu.tutafika mbali

Ayaaaa
 
Back
Top Bottom