Wanawake mnaovaa strap on acheni kutuharibia wake zetu

Haya mambo haya nayasikiaga tu jana kuna sehemu nilikuwepo mitaa ya Obey kuna mdada akawa ananikiss ile kihisia kabisa na kila nikimkazia naona wala hazugi, doh nikaona hapa nisepe tu
Ungeendelea kusikirizia tu mbn ungekua unyama
 
Mkuu nimesikitishwa na kitendo cha wewe kuzificha haukutuletea hata connection mtaani.
 
Kwa maelezo yako hukutakiwa kuwa kwa huu uzi Mkuu. Kitendo cha kuwa kwenye huu uzi kinafuta kabisa unayosema unayafanya.

Isije ikawa kwenye uzi wa kimasihara napo unapitaga Mkuu.
 
Haya mambo haya nayasikiaga tu jana kuna sehemu nilikuwepo mitaa ya Obey kuna mdada akawa ananikiss ile kihisia kabisa na kila nikimkazia naona wala hazugi, doh nikaona hapa nisepe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmmh ilikuaje?
 
Majuzi nilikua nafanya tafiti isiyo "rasmi" kwa mabinti kadhaa walio karibu sana .

Nikagundua japo janga la ushoga linapigiwa kelele pia janga la usagaji linakuja juu kwa kasi.

Mabinti wengi hulewa chakari hadi kutojielewa ndipo wanapata confidence ya kufanya hizo "fantasy" zao wakienda sleepover

Mauzo ya sex toys licha ya kuwa ni gharama sana yanafanyika sana japo hawajionyeshi sana kutokana na usiri kati ya mnunuzi na muuzaji tukisema tupige msako kwenye vyumba wasichana wanaokaa kwa makundi tutajionea mengi sana.

Mmoja tu ndio alikuwa hana hata hofu akasema kabisa "nimechukia leo chaja ya vibrator niliisahau nilipoenda kumsaga fulani" na hapo ni alitaka kwenda kwingine ndio kugundua amesahau chaja yake na nilipomhoji faida zake ni zipi yeye alisema analipwa na wasichana kadhaa anapokwenda huko.

So tukubali tu rasmi tumeingia kwenye maisha ya kimagharibi ambapo uhuru wa mtu kuingiliwa ni jambo zito, muhimu ni wewe tu kuwahi kuwaweka wanao kwenye maadili ya kiafrica kabla hawajavuka kwenda ya kimagharibi.

Nawasilisha.
 
Mada kama hizi ndo zinapromote na kutengeneza attention zaidi kwenye jamii..

Sorry lakini ndo ukweli, kuna wanawake humu najua kabisa huenda walkua hawajui haya au wanaskia tu ila kwa sasa minds zao ziko attention kujua zaidi na kujaribu.
 
Daa aisee hatari snaa

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…