Mapenzii na pesaa Ni marafikii ukimkosaa mmojaaa hapoo utaonekana zuzuu tu hakuna namnaaa piaaa wanawakee nao hawaelewekiii kwa ujumlaa ukiendaa kwa wakee wa matajiriii wanalalamikaa ukijaaa kwa wanawakee wa kipato Cha chinii wanalalamikaa unashindwaa kujuaa kipi Ni kipiii chamsingii ukipataa watoto komaa kutadutaa pesaa kwaajili ya wanaoo mapenzii tumeyakutaaa tutayaachaa