hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
100% uko sahihiHapo ndipo unajiuliza hivo wale mamanzi ninao waona insta hawatembeagi au mi ndio sina bahati ya kukutana nao
Everything you see is hoax
100% uko sahihiHapo ndipo unajiuliza hivo wale mamanzi ninao waona insta hawatembeagi au mi ndio sina bahati ya kukutana nao
Everything you see is hoax
Maana haya mambo Wapwa tumewahi kukutana nayo kitamboWe ndio umeanza kutumia Internet mwaka huu nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Weka picha
Kuna dada tunaishi nae mtaani, daily tunapisha na kusalimiana.
Halafu kuna dada nimem-follow insta, daily na like picha zake na comments fupi fupi "beautiful", "gorgeous" etc. Huyu dada ni mrembo haswa, melanin imetulia, shape sasawa, anapiga picha sehemu za matawi ya juu. Mara kadhaa apige anatoka apartment safi hivi ghorofani etc
Kwa zaidi ya miezi sita sikujua kuwa hawa wadada wawili ni mtu mmoja. Nilichoka sana asee. Nkaamua kumuomba namba live live mtaani akanipa nikajitambulisha mimi ndio fulani (account ya insta ya biashara haina picha zangu personal hata moja), alichoka na aibu tele akikumbuka mashauzi alonileteaga DM
Filters Fvcked Everything Up
We ni msukuma?Basi karibu mjini
We ndio umeanza kutumia Internet mwaka huu nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa whatsaap video call ni kitu cha msingi sana ..kama hautaki kuuziwa mbuzi kwa gunia
Maana haya mambo Wapwa tumewahi kukutana nayo kitambo
Whatsapp facebook mpaka insta, kila kona mazee nayopita nakutana na picha
Kama hapokei basi achana naeWengi hawapokei ukipiga[emoji23]
Huyu ni mbaya na mzuri kwa wakati mmoja. Mtaani wa kawaida, mtandaoni kisu kinyama. Je huyu nae anafit kwenye hiyo sentensi yako?Dem unaemwona mbaya ndo mzur sasa
Kabisa aiseeHahaha filter zinadanganya mno unaweza hisi kuwa ni watu wawili tofauti .
Ata mimi huwa najiuliza hivi hizi pisi kali huwa zinaishi wapi ? Nani hwa anakula hizi pisi? Mbona kitaani tunakutana na warembo ila ukimtazama utakuta Kuna angle moja haiko perfect ila ngoma za insta unakuta pisi is what we call the true definition of beauty!
Insta ni ulimwengu wa kufikirika
Kwani wa mitandaoni sio wa mtaani?Hiv nyie uwa mnaishi mapolini ama kwenye dunia yenu wenyewe had muangaike na wamitandaoni kama vile wa mtaani hamuwaoni
Wamitandaoni ni tofauti na wa mtaani maana mtaani uwezi jiongezea mafilter kama kwenye mtandaoKwani wa mitandaoni sio wa mtaani?
Wamitandaoni ni tofauti na wa mtaani maana mtaani uwezi jiongezea mafilter kama kwenye mtandao