Wanawake mna siri sana

moses musa

Senior Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
164
Reaction score
97
Wakuu habari ya kazi,

Jana nilikuwa naongea na dada mmoja kashaachana na mumewe akasema nimemvumilia sana mume wangu, ukorofi, uzinzi, kelele, kilichomkwaza ni kumtangaza kwa watu kuwa eti mke hajui mapenzi.

Kila siku alikuwa anaomba msamaha, hadumu kifuani kwangu hata dakika 20, ni dakika 7, tayari ananiacha na genye zangu.

Sasa kampata kijana anampa yote anakiri nimeshiba baba yangu naomba niache, majina ya baby, honey, sweet, mhh hakuna, akasema ninakuita baba unaniweza najua niko na mwanamme siyo baby.

Wazee mmewahi kukumbana na mke akakiri kashiba? Ameshangaa kuona kuna watu wapiga, 4, mechi moja kwa saa 4 kaenda kazini full kulala katuma SMS baba usingizi nahitaji kulala nikamwambia piga kazi.

Wanawake mna siri kubwa za wapenzi wenu, haya wanawake haya yapo kwenu au uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na siku wakikifumua back usisahau kuja kutupa story maana unajisifu kwa kula vya watu subiri maungo yako nayo yaje yaliwe
 
Hujakosea njia kweli...!? maana naona kama sio mahala pake hili bandiko!
 
Zaman hv kuna jamaa mmoja alikua katumix wadada wawili at once..nilivojua nkamuuliza ss unamchagua nani...akaanza ohh wish ningewaoa wote ila ttz ndoa ya kikristo...at the back of my mind am like hv uyu kaka anajua kidude chake kilivyo kweli ..??.ama kisa tunakaaga kimya na kufake mtu anajijengea confidence... Mtu kumridhisha mmoja shida wawili atawezaje...sikuwahi kummwambia ilibd niwe kimya tu mwanamke mwenzangu akapambane nacho...
 
ilikuaj paka akueleza yote hayo???
me nina waswas na ww[emoji137]

sent from aifoni seveni plasi
 
Tuna siri nyingi sana tena nzito, kwani ulitaka kila kitu tuwe tunawaambia??? vingine havifai kusema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…