Wanawake mna roho ngumu asee

pole mkuu
 
Hukupangiwa kuishi naye huyo,angekupa mateso zaidi,ipo siku utampata wa kwako tu;ambaye mtafanana naye hadi kwa sura muelekeapo uzeeni.
 
Pole sana mkuu,hawa viumbe ndivyo walivyo hawaeleweki wanataka nini?iko siku anaweza kurudi kwako na kilio juu huku akimpa shetani lawama kuwa alimdanganya akaolewa na huyo mmewe na si wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nakuweza Mimi, try me you will never regret....

am better here
 
Makosa uliyoyafanya ndani ya hiyo miaka mitatu ni haya.
1.Kutumia condom
2.Kuvizia safezone ndo umgegede
3.Kuchomoa sekunde chache kabla huja ejaculate

Nadhani umenielewa!!

Huwezi kusudia mpa mwanamke mimba ili asikuache, ni upuuzi, kama anataka kwenda si aende tu
 
Pole Mkuu.... But nachokiamini siku zote ni hichi ''KILA KINACHOTOKEA KATIKA MAISHA KINA SABABU NA FUNDISHO PIA'' Mungu huwenda amepanga au amekuepusha na chochote ambacho kingeweza kutokea hapo mbeleni.... Shukuru na endelea kujipa muda maana upo wakati na muda sahihi atakuja aliye sahihi na kwa wakati sahihi.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…