Aaaaaaaaa wapi SIPIGWI FREE P HATA SIKU MOJA SABABU YA SIFA ZA KIJINGA!
Ukiona unambanjua mwanamke ni coz amefika bei kwako, na kardhika na viwango vyako wala sio sifa ulizotoa, ilikuwa kwenye plan tu ukitaka upewe!
Mi mwenyewe sijui ila kusifiwa kuna nifanya nakuwa comfortable sasa ikitokea na anayetoa sifa ana vigezo vingine Mf. mrefu, intelligent& brave, humble, hardworking, self displine etc etc najikuta na fall in love!
Wanaojua maana ya sifa wanajua ninachoongeleaDuh!! Hii thread ni ya wanawake tu. Ngoja waje kukujibu mkuu. Ila kama kweli unafanya utafiti ungetumia anonymous sample nafikiri hata wanaume wenye kujua jibu la swali hili (may be walishafanya research) wangekusaidia majibu. Pia kwa kukusaidia tu, jaribu kufafanua unamaanisha sifa zipi. Je ukimsifia kuwa ni mchapakazi, mrefu, mchangamfu au mweusi sana? Fafanua mkuu
Asante. Nawasilisha