Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,819
- 40,602
WAKOLOSAI 3:18-19.Unakutana na mtu ww tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda.
Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala nae na kuamka nae.
Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea. (mlevi mbwa) Lakini ana mke na watoto.
Kuna wale anajua mpaka bei ya kitunguu na nyanya, Yaani kila senti anataka kujua imetumikaje.[emoji119]
Mwingine hasira hazimuishi kidogo tu kapaniki.
Ukiwa mvutaji mzuri harufu kila ukipumua.Wavuta sigara tunaojielewa huwa tunapiga mswaki kabla ya kupanda kitandani
Ni sigara gani hizo unazovuta wewe ambazo anytime unapumua harufuUkiwa mvutaji mzuri harufu kila ukipumua.
Me sivuti mkuu.Ni sigara gani hizo unazovuta wewe ambazo anytime unapumua harufu
Hivi unajua nimeimiss sauti yako... Em fanya wepesi PM! nimepoteza number yako..Shida tupu yaan
Nawapa kongole kwa moyo walio nao.Dahh!! Sasa unashauri nini mkuu!?
Sawa mkuu,soonHivi unajua nimeimiss sauti yako... Em fanya wepesi PM! nimepoteza number yako..
Sasa mimi navuta ndio maana nakueleza,sigara ni starehe yangu mimi,lazima nihakikishe haiwezi kumkera mwenzi wangu...hakuna sigara itakayonuka zaidi ya 30mint baada ya kuvutwa...Me sivuti mkuu.