Wanawake mna mambo jamani!

Wanawake mna mambo jamani!

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Ukimtongoza mwanamke akakubali na baada ya muda kidogo ukachomekea yako kutaka yaleeeee mambo yetu basi utamsikia mwanamke akija juu, oooooh bado sijakujua, juzi tu tayari ushaomba, unaelekea wewe shida yako ni hiyo tu na huna mapenzi na mimi. Kinachonishangazaga ni kuwa linapokuja suala la kupiga mizinga lenyewe halina muda mfupi sikufahamu, sasa iweje tunda lenyewe hadi unifahamu lakini mizinga ya ooooh nina shida ya laki 1 yenyewe nayo isisubili hadi mfahamiane?????????
 
Hiyo ni game ya nipe nikupe,ukimpa bila kumpiga chenga yeye ndio ataitisha mechi za kirafiki ili mzoweane vizuri, kama mfuko wako una zipu na kufuli kama sanduku utapewa taree wewe mpaka ukate tamaa....
 
hio ni kweli mkuu wengine mmejuana siku 1 lakin mizinga hiyo balah. nilichogundua ni ugumu wa maisha unachangia
 
hio ni kweli mkuu wengine mmejuana siku 1 lakin mizinga hiyo balah. nilichogundua ni ugumu wa maisha unachangia


Ucho sema ni ukeli mtupu,Maisha ya siku hizi kila kitu ni hela,sasa kama namwanaume ambaye anaweza kunisaidi kwa nini nisimuombe?.
 
lazima muelewe Mapenzi bila mizinga ni sawa na chai bila sukari
 
Mi mwanamke kunikubalia..mpaka anipe....kukubaliwa kuna definition tofauti....!!!?
 
Kwakweli hilo ndo jambo lililobaki maana asilimia 98 za heading humu ndani ni wanawake wanawake...

umeona eeeee
wakibadili itapendeza coz
mtu ukiingia unajua umeingia panapowahusu
wanawake,inakua poa!!watuseme huko mpaka wachoke!!
 
Na ukizubaa utapigwa mizinga halafu baadae anakwambia nina mtu wangu!
 
jamani mbona kila cku humu ni wanawake mara wamefanya hivi mara vile jamani tumechoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom