tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,316
Atakuja na daktari kasema Tv ndio chanzo so inabidi kubadili nitumie LED na miwani yake ndio itasidia!!!!!!!!
Chezeiyaaaaah mgonjwa wa macho nini??????!!!
unakumbuka Q Chief alivyoimba "namtaka mwenye afya namuogopa wa maradhi" walikuja juu haoooo mamas gonjwa mingi bana
Sie wagonjwa wa macho tuna kazi,, wengine twaumwa kweli.
Mkuu mi nilidhani ni mapema mno, na huyu mtoto anajiweka kwe risk ya kugegedwa ka ningekua Bazazi.
Anyway nitafata ushauri wako.
Sie wagonjwa wa macho tuna kazi,, wengine twaumwa kweli.
Tatizo lako bahili. Bila kukuambia wanaumwa ndo hata hela ya juisi hautoi! Watakudanganyia hadi kansa nakuambia.
mpenzi pole........upo?Sie wagonjwa wa macho tuna kazi,, wengine twaumwa kweli.
LOL! Kijijini nguvu, mjini akili.
Umeitaja kansa nikaikumbuka movie ya "A Walk to Remember".
Tatizo lako bahili. Bila kukuambia wanaumwa ndo hata hela ya juisi hautoi! Watakudanganyia hadi kansa nakuambia.
... KakaJambazi kama ndio inakuwa hivyo kwako, basi jaribu kuangalia na kwa upande wako una shida gani labda maana haiwezekani kila unayekutana naye WEWE ndo zinatokea xcuse za namna hiyo...maradhi yapo kwa kila kiumbe na tuliumbiwa sote, ila KWA CASE YAKO, naona ebu jaribu kujiuliza as to why?
jamiif labda we unahonga sana.
Na bado usipoendelea kuchimba zaidi mfukoni utapigwa chini au kula na wenzako.Wanaumwa kweli, kuna mmoja nimemtibu macho na miwani ya laki 2. Ila nimetumia AAR.
Nitakutibu na bima usidhani nitakutumia hela.
Ha ha haaa so inch 52 LED with low radiation and automatic light control itasaidia kidogo mamii????!!!!
mpenzi pole........upo?
King'asti!!!!
Hopelesheni nitamushilisha Kakajambazi awe muasibu maana jangiri rinataka hopelesheni iwe oteri ya nyota tano. Uyu muasibu ana CPA ya kuzibiti mapato na matumizi kwenye hopelesheni
...nimekubamba..Wanaumwa kweli, kuna mmoja nimemtibu macho na miwani ya laki 2. Ila nimetumia AAR.