Wanawake mmezidi uwongo acheni hizi tabiaaaaaaaaaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake mmezidi uwongo acheni hizi tabiaaaaaaaaaaaaaaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nduka Original, Nov 26, 2011.

 1. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanawake ni waongo sana. Kila mwanamke ambae nimekuwa nae utasikia anakwambia hivi.

  1. Yani mimi mpaka namaliza chuo nilikuwa sijawahi kuwa na mwanaume
  2. Mwingine yani mimi mpaka namaliza sekondari sijawahi kuwa na mwanaume
  3. Mwingine utasikia yani mimi wewe ni mwanamme wangu wa pili nilikuwaga tu na boy friend tukaachana
  4. Mwenye mtoto atakwambia mimi kwanza wala sikupenda kuzaa nae alinibaka

  Kifupi - Usichimbe historia ya mke wako kwani utachanganyikiwa ndugu yangu.
  Ila wanawake ni waongo sana kwani mimi kila shule niliyopita kuanzia primary, o level, a level na college wanawake walikuwa wanaliwa ila leo ukikutana nao watakudanganya.
   
 2. S

  ScreenMaster Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huuh!
  My Gooosh!

  Lakini wakiwaambia ukweli mtupu mtapenda?...Ukiambiwa kuwa "nilikuwa na wanaume 6 kabla yako" utasimamisha hiyo nanihiino?

  Kubali yaishe kwamba nyie wenyewe mnapenda kudanganywa!
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu unachosema kina ukweli, mie pia yameishanitokea sana hayo, kuna mwanamke mmoja aliniambia eti alikuwa na mwanaume mmoja tu, kwa sasa yupo Uingereza.

  Baada ya wiki nikaja kuwafahamu mabwana zake watatu, nikapiga chini
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Haya mi nakwambia ukweli. . .
  Nilianza nikiwa std 5. . . mpaka sasa hivi nimeshiriki na watu 17. . .

  HAPPY??
  Malalamiko mengine bana.
   
 5. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,741
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ungeniambia hayo mapema wala nisingekuja hata kuchumbia, lol!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Hahahah. . . sina shida na uchumba wako so njoo uuchukue.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Utakuwa mtaalam sana Lizzy
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mmmh hhhm mmmmh.
  Ngoja ntawatuamia hao 17 questionare alafu nilete matokeo hapa.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nyie wanawake wa posta mnajifanya wajanja sana!
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ukweli utakuweka huru! Mwanaume kama amekupenda hata ukimpa story gani atakuganda tu kuliko ukimficha halafu akagundua ndio hapo inaanza kasheshe!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Wanawake wa posta?Ndio wakoje?
  Mi wa Ungalimited chalii angu usinifananishe na masista duu.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mi sioni tatizo kumwambia mtu ukweli au kuutaka wake. Sema tatizo wengine hua wanataka ukweli wakati hawawezi kuubeba. . . kama huuwezi ukweli potezea badala ya kumchora mtu alafu akishakwambia kijasho cha mikono kinakutoka huku ukikimbia wakati hujakimbizwa.
   
 13. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuwa mkweli lizzy umeshalabwa na wanaume wangapi na umeanza ukiwa class gani? stop jiking
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mbona nimeshajibu. . . . unataka nini zaidi?
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,887
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  mwanaume = mwanamme
  nilikuwaga = nilikuwa
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  Wanasema ukweli tatizo akili zenu zinahisi zinadanganywa muda wote.
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  asnate na mie ndo nasema hicho hicho, mfano ni kweli akudanganye alikuwa nao marcopolo 3?
  Ndo raha yenu wanammw tukisema tunao wengi?

  Si wanawake wote wako extremist kwenye mahusiano

   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Yikes!!..kuna mtu mkweli siku hizi?? listi uangu kwa ufupi ni wanaume 20 ukijumlisha real relationships, sex partners, flirts na one nites!!huh
   
 19. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,741
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kama huna shida nao mbona uliukubali? Si ungekataa tu nkajua moja.
   
 20. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,741
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Daudmchambuzi, umepost lugha gani hiyo, kirusi?
   
Loading...