Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Doooh naona wametuamulia๐๐๐
Amesahau bra nyeusi๐๐
Doooh naona wametuamulia๐๐๐
Depal๐คฃ๐คฃ halafu wana kale katabia anapikicha na kidole halafu ana nusaa ku test mzigo, au wale fungus sijui chawa/bacteria wakimuwasha unaona akipiga bichwa, paaa.. paaa,then anakausha kama sio yeye, yale ni mateso..
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐คฃ hatari sanaDoooh naona wametuamulia๐๐๐
Amesahau bra nyeusi๐๐
Nimeimagin hapa nimecheka sana๐๐๐Paa paaa paaaa ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
Mengine hayafuliki jamani ๐Siyo kwamba ni uvivu au?
Kama ni joto mbona nguo za ndani hamuachi kuzifua (Nje ya mada)...
Me nimejaribu kabisa ๐คฃNimeimagin hapa nimecheka sana๐๐๐
Ya bei gani hayo?Mengine hayafuliki jamani ๐
Ukilifua linazeeka hapo hapo.
7000/= ๐๐๐Ya bei gani hayo?
Kuna wigi la bei hiyo kweli? Acha utani wako?7000/= ๐๐๐
Mengine hayafuliki jamani ๐
Ukilifua linazeeka hapo hapo.
๐ ๐ ๐ nawafool wasionijua kama nina kipilipiliKwani lazima hayo madude. Hivi ukiweka kipilipili chako safi kama Nancy Sumari, unapungukiwa nini? Kila mtu anajua kuwa Waafrika tuna nywele fupi? Nani unajaribu kum-fool?
๐๐๐๐๐Kuna wigi la bei hiyo kweli? Acha utani wako?
Hilo litakua siyo wigi bali zile nyavu mnazovaaga kichwani...
Acha ukorofi๐๐๐๐ ๐ ๐ nawafool wasionijua kama nina kipilipili
Raha sanaaa ๐๐๐๐Acha ukorofi๐๐๐
Unaji-fool mwenyewe. Nione mweusi mwenzangu ana nywele zilizonyooka hadi mgongoni halafu niamini kuwa ni zake halisi? Wigi ni alama ya kutokujiamini. Ni sawa na wenye mvi wanaoweka die. Ni kutokujiamini pia.๐ ๐ ๐ nawafool wasionijua kama nina kipilipili
Sawa..Unaji-fool mwenyewe. Nione mweusi mwenzangu ana nywele zilizonyooka hadi mgongoni halafu niamini. Wigi ni alama ya kutokujiamini. Ni sawa na wenye mvi wanaoweka die. Ni kutokujiamini pia.
Sawa..
Wacha tuji-fool โ tuji- enjoy wenyeweโฆ
Jamani poleni, na mvumilie ๐คฃMnanuka sasa. Watu wanalalamika... Mnatuabisha watu weusi wenzenu.