Wanawake mmetushinda kwa tabia

Wanawake mmetushinda kwa tabia

Wanawake walio wengi wakiwa kwenye miaka 22 wote hutaka mwanaume ambaye ni TALL, DARK AND HANDSOME...anasubiri hapo hadi anagonga 30 anabadili msimamo anasema only TALL and DARK.....Anasubiri hapo hamna kitu Age inagonga 35 anafuta DARK anabakiwa na TALL......anakosa Age inagonga 38 na amebaki na TALL anatoa hiyo T ya mwanzo inabaki ALL......tatizo hapo unakuta ishakuwa too late akiwa 22 alichagua sana hadi waliokuwa wanaume wakuoa kabisa akawatosa.....Na hapo Age inazidi kusonga mwisho anatafuta tu wakumpa mtoto na si mume tena....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
He he shela ndugu na yale mazawadi ujue raha ya ndoa uingie mama utakayokutana nayo unayavumilia kama yalivyo na sisi wakristo woiiiii bora wenzetu wanaachana


hahaha mie kuna mshikaj mmjoa humu ananiambia [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] ukomeee hehhe yy islam !ananinanga had naumia!yes wao wana option trrrrrrraaaaaaaaaaaaaam!....jaman kwenye ndoa uhuru hakunaaaaa ht ukitaka kwenda kwenyu had uombe ruhusa mwez nyuma kbla! dadek... leo nilitaka kwenda hom had nw sijapata ruhusa ya mume!(ananiambia kunani) si wehu huu jaman
 
Wote mliojitokeza mnafanana akili na huyo alietoa vigezo...yaani kama hata nyuma ya keyboard mtu hawezi kuficha madhaifu yake vp mkionana live

Binafsi hata ingekuwa kwa shuruti ngegoma kudonate seeds zangu kwa huruma ya mtoto wangu ambae angekuwa na DNA za ajabu za huyo dada

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
hahaha mie kuna mshikaj mmjoa humu ananiambia [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] ukomeee hehhe yy islam !ananinanga had naumia!yes wao wana option trrrrrrraaaaaaaaaaaaaam!....jaman kwenye ndoa uhuru hakunaaaaa ht ukitaka kwenda kwenyu had uombe ruhusa mwez nyuma kbla! dadek... leo nilitaka kwenda hom had nw sijapata ruhusa ya mume!(ananiambia kunani) si wehu huu jaman
Au kama hutaki kuomba ruhusa usubiri mr awe amesafiri unaweza ukachomoka mara moja ahahhaha
 
mie ningekuwa sijaolewa wala nsingeolewa zaid ya kuzaa tu!... sijui wanahis tu nafaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! nahuku uhuru hakuna wa kufanya mambo kwa nafassi hat kutafta kipato bado unabanwa!chaa
Hawajui tunayokutana nayo humo kwenye ndoa yaam hata me ningekuws sipo kwenye ndoa ningeendeleaa kucheza kwaito za wenzangu mpaka mwisho wangu kuna maisha mengine yaendelee sio unawaza kuolewa tuuu
/mmmh mnasema tu, nanyie mngekua hivi hivi au zaidi
 
Eve hivi kama wa kukuoa haupati my dear unafanyaje inabidi ukubaliane na hali tu hakuna namna
Kukubali ndo ishu, afu ukizingatia ni kitu ambacho tunakitamani mno hata anaezuga na sizitakii mbichi, anatamani...
 
Hawajui tunayokutana nayo humo kwenye ndoa yaam hata me ningekuws sipo kwenye ndoa ningeendeleaa kucheza kwaito za wenzangu mpaka mwisho wangu kuna maisha mengine yaendelee sio unawaza kuolewa tuuu
Ujue mtu ukishakata tamaa na kuolewa lolote unaona sawa hivi jaman lazima wote tuolewe sio kila mwanamke ambaye ameandikiwa yeye ni wa kuolewa
ni lazima wote muolewe ndio
 
Ni pale ambapo unataka kufikisha message kwa mtu fulani ukaona haina jinsi ngoja uingilie kwa kutumia thread ya mtu mwingine hahahahahahahaaaa.........

Sijakutaja please give me a break and a holiday kabisa uwiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom