Wanawake mmetushinda kwa tabia

Wanawake mmetushinda kwa tabia

Hatukatai lakini kuna wengine hamuolewi kwa sababu za kujitakia...mfano huyo Dada uandishi wake tu unareflect tabia yake...sio rahisi kuolewa...naweza nkawa na vigezo vyote lakini hebu ona maneno yake yasivyo na staha na aibu ya mwanamke...amejipanga kuwa single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu wa hivyo ameshakata tamaa ameamua kujichagulia maisha yake anayoona yapo sawa mkuu
 
Leo sitaki kuongea sana, hebu soma iliyopostiwa humu, mwanamke akitafuta mtoto na handsome boy!!

Anaanza hivi,

Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulefu futii 5
Baada ya hapo mahusiano yafe.
mtoto ntamlea mwenyewe.
Sitaki kufatiliana kwa lolote
Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm
Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako ntakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako
Narudia sitaki maneno mengi pm
sms ya kwanza andika nazalisha
ya pili tuma picha
ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae



PM IPO WAZI

hapa tunakwenda kwa reference na facts, usipayuke hovyo kama huna la maana la kuchangia.
Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu
Huyu alianza hivi asubuhi ya leo
 
Asa wewe unasubiri nini mpaka saahizi,wikiendi imeanza tokea jana.mida ya kuvesha hii
Mkuu, mitayari nipo huku chini soko la zamani kwa mama muuza kindi na wanzuki, napuliza tu polepole kabla ya kunywa...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ujue mtu ukishakata tamaa na kuolewa lolote unaona sawa hivi jaman lazima wote tuolewe sio kila mwanamke ambaye ameandikiwa yeye ni wa kuolewa
Wewe hutaki ndoa eeehh. shauri yako
 
Wewe hutaki ndoa eeehh. shauri yako
Nipo kwenye ndoa mkuu ningekua sipo wala nisingekua nahangaika kama hivyo sio lazima wote tuolewe wengine tuna nyota za kucheza kwaito tu kwenye harusi za wenzetu
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha hoja bungeniiiiiiiiiiiii napita tu
 
Nipo kwenye ndoa mkuu ningekua sipo wala nisingekua nahangaika kama hivyo sio lazima wote tuolewe wengine tuna nyota za kucheza kwaito tu kwenye harusi za wenzetu
Huko kwenye ndoa napo ni wenge tu...
 
Back
Top Bottom