Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

kumbe unazuzukaga na nywele zao?

masikini wee by th way na wao huaga wanabond na kuweka mawigi usikalili watu weusi tu.
Uwongo mweupe...wazungu wameridhika na nywele zao...wanajivunia...nyinyi hamjikubali..ina maana Mungu kakosea kuwapa nywele hizo zenu???
 
sasa angalia mvua ikinyesha wanavyohangaika kuyakinga
 
Katika kila wanawake 10 utakaokutana nao,7 wamevaa nywele bandia, kwa hiyo ni ngumu kuwajua sura zao halisi. Hawa wanawake wanaovaa hayo majinywele bandia sijui wamekula maharagwe ya wapi? Nani aliwaambia muweke midawa mpaka nywele zimenyonyoka utadhani mbayuwayu kakoswa na manati.Chukueni mfano kwa Waziri Fenela Mkangara alivyo halisia, big up sana mama. Kwa hiyo badilikeni, mnatuzingua sana aisee.

Mwanamke wa kiafrika hata asome lakini kichwani mwake mawazo ni kufanana na mzungu nywele ili naye aonekane kama anachezesha kichwa au mkono wake awe kama anasogeza nywele kama mtu mweupe. Hiyo ndo akili yake. Ndiyo maana wajanja wanazidi kuwekeza kwenye nywele bandia kwa ajili ya mwanamke wa kiafrika walishajua ujinga wake
 
Katika kila wanawake 10 utakaokutana nao,7 wamevaa nywele bandia, kwa hiyo ni ngumu kuwajua sura zao halisi. Hawa wanawake wanaovaa hayo majinywele bandia sijui wamekula maharagwe ya wapi?

Nani aliwaambia muweke midawa mpaka nywele zimenyonyoka utadhani mbayuwayu kakoswa na manati.Chukueni mfano kwa Waziri Fenela Mkangara alivyo halisia, big up sana mama.

Kwa hiyo badilikeni, mnatuzingua sana aisee.
Kipilipili
 
Tunayahudumia na kuyasifia kwa unafiki ili tupate tunachokitaka na tukipata ndo maana tunawakimbia.....hakuna anayependa kulala ananusa harufu za uvundo wa manywele ya maiti wa India

Kwani hao ambao wananatural hair hawana hicho kitu?
 
Katika kila wanawake 10 utakaokutana nao,7 wamevaa nywele bandia, kwa hiyo ni ngumu kuwajua sura zao halisi. Hawa wanawake wanaovaa hayo majinywele bandia sijui wamekula maharagwe ya wapi?

Nani aliwaambia muweke midawa mpaka nywele zimenyonyoka utadhani mbayuwayu kakoswa na manati.Chukueni mfano kwa Waziri Fenela Mkangara alivyo halisia, big up sana mama.

Kwa hiyo badilikeni, mnatuzingua sana aisee.
Alafu umkute amepaka na ile wanja iko kama majivu kwenye lips
 
Back
Top Bottom