Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

Inaonesha mumeo huwa anaona aibu kutoka nawe maana umetoa experience nzuri


Nina experience ya maisha, nimejifunza tabia za binadamu hasa wanaume. Walio wengi hupenda sana mwanamke mrembo anayejipamba sana kuwa naye popote LAKINI hawapendi wake zao wajipambe maana hujua watapendwa na kushawishika na wanaume wengine!
 
Hivi wanasuka twende kilioni then wanavaa yale madude...eeh!
..Ujaribu sasa kumshika hayo manywele aliyovaa...
..Hivi mkifanya mapenzi inakuwaje, manake kuna vidume vinapenda kuchezea nywele..
 
Hahah nakusamehe bureeee coz hunjui
Na nyie mmezidi lazima tuwachane laivu hakuna namna nyingine,inaonekana nawe umo katika kundi.
Kwani mmezaliwa hamna nywele? Ni kimuhemuhe chenu ndio kimewafanya mkose nywele,na tutawachana sana tu.
 
mmmhhh acha watu waishi wapendavyo na sio utakavyo. Binafsi siyapendi ila siwezi kushauri na Fulani achukie hiyo miwigi.
 
noiselessly hunter

Una hela? Kama unazo mtafute mwanamke unayemtaka mwambie asiweke nywele bandia au asuke kama huyo mama waziri.
Ila kama mwanamke ana hela zake, humlipii bili au kodi HAYAKUHUSU. Fanya yako
 
Last edited by a moderator:
Mimi wa kwangu nilishamwambia siku akiyanunua atakuta hayo manywele nimeyatia mkasi kwanza yanachoma
 
wanaume ndo maana mnachepuka saana. Acheni wanawake wajipambe bila kuwavunjia heshima. Kwani mtu akivaa wigi anabadilika uanawake wake? Mimi sioni sababu mwache mwanamke ajipambe wivu ni mbaya
Ninyi mnaosema hivi kesho tunawakuta mnavizia wanawake walioweka mawigi acheni unafki jamani
 
Kibaya zaidi wavaa minywele bandia huwa hawakogi kichwani. Ni uchafu mtupu.
 
huo ni utumwa wa akili na maisha yao. nikiwaona sa zingine nakumbukia ile mistari " cheki hela kwa mwaka anayotumia kwa saloon, pengine angejibana angemiliki baloon( gari)"

wengi wao hawana natural beauty na hivo ni defense yao, ila mwisho inawagharimu mtu kupata kwashiarkor sababu ya soloon ni utumwaaaaaaaa......
 
Mawig yote ninayoyaona yanaakisi uhindi, uarabu na uzungu.Yanayoakis uafrika siyaon

Naskia ni nywele za marehem, kuna ukweli?
 
Back
Top Bottom