Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

Yani mama Waziri na kusuka kwote nywele hata haziwi ndefu, kipilipili kile..lakini good for her
 
Hafu wakivaa hayo mawigi mabichwa yanaongezeka yanakuwa makuubwaa ka tikiti maji! Pia mengi yananuka na frankly hayawapendezi wengi,a woman on her natural hair ananoga aiseeh
 
Hiyo minywele sometimes inaboa sana ila wengine inawakaa vizuri sana. Unakuta mtu kalivaa limemkaa utafikiri zombi.

Ndio unakuta umemuomba mdada mtoke siku hiyo anakuja na minywele hadi pozi inakata unahisi tumbo la kuhara ili uahirishe mtoko maana ni aibu.
 
Haaa! tena unakuta na hiyo minywele mfu yao wameiwekea bili ya vipodozi na mashauzi kibao,
Watu weusi tunashida.
 
Hahaaaa!!!
Kama mnaichukia kiasi hicho Si muwafate hao natural?
Yaani wewe unataka embe mbivu ila ukifika sokoni unachagua mbichi,kisha unaenda ukilalamika njia nzima!!!
 
Nina experience ya maisha, nimejifunza tabia za binadamu hasa wanaume. Walio wengi hupenda sana mwanamke mrembo anayejipamba sana kuwa naye popote LAKINI hawapendi wake zao wajipambe maana hujua watapendwa na kushawishika na wanaume wengine!

Kwaiyo unafurahi mkitumiwa kama chombo cha starehe ha ha ha haaa. Mke mwenye busara yuko ndani ila punda anatumiwa tu. Hahaha
 
Katika kila wanawake 10 utakaokutana nao,7 wamevaa nywele bandia, kwa hiyo ni ngumu kuwajua sura zao halisi. Hawa wanawake wanaovaa hayo majinywele bandia sijui wamekula maharagwe ya wapi?

Nani aliwaambia muweke midawa mpaka nywele zimenyonyoka utadhani mbayuwayu kakoswa na manati.Chukueni mfano kwa Waziri Fenela Mkangara alivyo halisia, big up sana mama.

Kwa hiyo badilikeni, mnatuzingua sana aisee.

pokea big like mkuu
 
Kwaiyo unafurahi mkitumiwa kama chombo cha starehe ha ha ha haaa. Mke mwenye busara yuko ndani ila punda anatumiwa tu. Hahaha

Kutumiana rather,hata huyo mwanaume anayeacha mkewe ndani Huku anakimbizana na wanawake wengine nje naye hana busara pia na anatumika vile vile
 
Wengi wana nywele vipili pili , na upara ndo umekula wnegi sana......yaani kama mac regan kiapara....
hivyo wanavaa wigi kuficha aibu yao.

Mbavu zange te he tehe...cha ajabu hao wenye vipara hamwafati..mwawafata na kumaliza wese lenu kwa hao wenye vibandiko..mabadiliko yaanze na nyie me...muone kama watafanya hayo....
 
Mungu katika uumbaji wake hakukosea kitu mimi binafsi nikigusa nywele za mwanamke za asili dudu langu linaanza usumbufu muda huohuo, kusema ule ukweli asilimia kubwa ya wanaume tunapenda nywele za asili ila tu imefika mahala nywele za asili zinaadimika ndo hapo ile methali isemayo " simba akikosa nyama hula majani"
 
Wanaweka kwasababu wanaume wenzio wanavutiwa nayo na hutoa hala ya kununulia, anaambiwa naomba hela ya lesi wigi shs.200,000
 
katika kila wanawake 10 utakaokutana nao,7 wamevaa nywele bandia, kwa hiyo ni ngumu kuwajua sura zao halisi. Hawa wanawake wanaovaa hayo majinywele bandia sijui wamekula maharagwe ya wapi?

Nani aliwaambia muweke midawa mpaka nywele zimenyonyoka utadhani mbayuwayu kakoswa na manati.chukueni mfano kwa waziri fenela mkangara alivyo halisia, big up sana mama.

Kwa hiyo badilikeni, mnatuzingua sana aisee.

ndoorooobo wee
 
Na hayo mawigi ndio yanayopagawisha hadi mnaacha nyumba zetu na kwenda kuyahudumia. Wambeya wakubwa.... mnajifanya hamyapendi wakati mkiyaona suluali zinawatingishika!!!???? Tena wake zenu natural mnaona haya hata kutokanao out.... hovyoooooo kabisaa

Kuna kaukweli flani hivi, ila yanaboa hayo mawigi
 
Mi wangu amesokota rasta za bob amenikomboa na grama za saloon na kila siku namshukuru kwa kilugha......
 
Wanaweka kwasababu wanaume wenzio wanavutiwa nayo na hutoa hala ya kununulia, anaambiwa naomba hela ya lesi wigi shs.200,000

Waimarishe hizo za kwao kwanza sio za maiti wa akina Amita bajani
 
Back
Top Bottom