Wanawake mmeigeuza bidhaa adimu

Wanawake mmeigeuza bidhaa adimu

meddie

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
434
Reaction score
125
Inashangaza baadhi ya wanawake wa mjini wasaka ngono anaonyesha interest kwako na mwisho wa siku unaona ok ngoja tumalize.

Mnakutana atakula na kumya tena anachotaka, pale mnataka kuanza mchezo anajigeuza tena siku ya kwanza anaanza story za;
1. Utanipa nini?
2. Simu yangu inashida
3. Kesho nataka kusuka
4. Mwezi huu kodi inaisha
.
.
Mimi siku ya kwanza mtu akishaanza stori hizo natoka taratibu au nafanya na hanioni tena.

Ushauri wangu kwenu msidhani hiiyo kitu ni bidhaa adimu mpaka mnaanza kuleta shida zenu. Kama unauza sema mapema mtu ajui wewe muuzaji achague kununua au aende zake. Siyo unakula alafu unaleta shida zako.
 
Mmh! Ifikie kipindi hichi kilio mkiache sasa yaani bila nyuzi za kulalamikia pesa mnahisi maisha hayawezi kusonga.

Na wakukomesha hii kitu ni nyie nyie Me, na pia mjitahidi kujua tofauti iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume.
 
Inashangaza baadhi ya wanawake wa mjini wasaka ngono anaonyesha interest kwako na mwisho wa siku unaona ok ngoja tumalize! Mnakutana atakula na kumya tena anachotaka, pale mnataka kuanza mchezo anajigeuza...tena siku ya kwanza anaanza story za
1. Utanipa nn?
2. Simu yangu inashida
3. Kesho nataka kusuka
4. Mwezi huu kodi inaisha
.
.
Mimi siku ya kwanza mtu akishaanza stori hizo natoka taratibu au nafanya na hanioni tena!
Ushauri wangu kwenu msidhani hiiyo kitu ni bidhaa adimu mpaka mnaanza kuleta shida zenu! Kama unauza sema mapema mtu ajui wewe muuzaji achague kununua au aende zake. Siyo unakula na kumya alafu unaleta shida zako!
Tufanye Kazi jama..iyo ndo njia pekee!!amin kwamba
 
Mmh! Ifikie kipindi hichi kilio mkiache sasa yaani bila nyuzi za kulalamikia pesa mnahisi maisha hayawezi kusonga.

Na wakukomesha hii kitu ni nyie nyie Me, na pia mjitahidi kujua tofauti iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume.
Swala si kulalamikia pesa! Kwa nini usiseme unataka sh ngapi mapema na mtu akafanya maamuzi! Na kwa nn unaanza kujilegeza kwa mtu lkn kumbe shida yako ni mafuta au simu au kodi....uoni huu ni utapeli?
 
Wewe sasa ndio uukatae huo unaouita utapeli na sio kulalamika.

Na ukiombwa kwani lazima utoe?
 
Naww unampa ahadi ya kufanya yote hayo kesho yake ukishamla unapotea
Kweli kabisa, ila wakati mwingine unakuwa umepanga kukaa nae kama wapenzi basi anakuletea ujinga siku ya kwanza!
 
Wengine kila siku kulalamika wakati huo huo mtu ana mke nyumbani kutuliza nanihii hapana mtu unapata stress za mchepuko badala ya mke (utange lola mweee)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom