Wanawake mlio kwenye ndoa msizoee Ndoa. Kuweni wabunifu

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,654
Reaction score
17,207
Msijibweteke...

Mwanamke Mpumbavu ataivunja ndoa yake mwenyewe.

Msichukulie poa eti ' he is my husband now'..... You be like " I own him"..
Pumbavu wewe mwanamke mwenye akili na mawazo kama hayo.

Unaanza kujiachia kipumbavu tu....

You used to make a dinner for ur husband ...you dont do more..

You used to make a bath or prepare one for ur husband...you dont do no more.

You used to eat together ....you dont do it no more.

You used to ask him out when in courtship but after marriage u never did...

You used to make a bed, well dressed.. You dont do it no more...

...aisee yako mengiiii... Nsiwachoshe. Ila nawakumbuhsha wanawake ambao mpo kwenye ndoa na mnajisahau..

Mnaanza kuwa legelege. Mind you ..just mind you.. Huko pembeni kuna watu wanafanya yootee on ur behalf...

I'll be back.
 
Wigi zinavunja mahusiano kwa kasi ingawa halisemwi. Ile style mnalala mmetugeuzia mgongo ndo pua inagusa wigi yaani harufu ya makemikali tu. Inasemekana humu ndo mabeberu wanaweka madawa ya kupunguza nguvu za kiume halafu mnasema hatuwafikishi afcon kumbe nyie ndo mnaturoga kwa kuwmini nywele za kizungu ndo Bora kuliko kipilipili yenye harufu ya kuamsha mkuyenge.
 
Msijibweteke...

Mwanamke Mpumbavu ataivunja ndoa yake mwenyewe.

Msichukulie poa eti ' he is my husband now'..... You be like " I own him"..
Pumbavu wewe mwanamke mwenye akili na mawazo kama hayo.

Unaanza kujiachia kipumbavu tu....

You used to make a dinner for ur husband ...you dont do more..

You used to make a bath or prepare one for ur husband...you dont do no more.

You used to eat together ....you dont do it no more.

You used to ask him out when in courtship but after marriage u never did...

You used to make a bed, well dressed.. You dont do it no more...

...aisee yako mengiiii... Nsiwachoshe. Ila nawakumbuhsha wanawake ambao mpo kwenye ndoa na mnajisahau..

Mnaanza kuwa legelege. Mind you ..just mind you.. Huko pembeni kuna watu wanafanya yootee on ur behalf...

I'll be back.
Natamani ujumbe huu ungemfikia mke wangu...
 
Na mke wa jirani yangu...
 
Si umtumie link Mkuu asome mwenyewe? Pole sana Mkuu si ajabu hata papuchi unapewa ya mgao. Huyo mkeo usimuogope kama huridhiki kama mume MKOROMEE lakini nawe usisahau wajibu wako kama mume.
Anhaaa!!!
 
Mheshimiwa nimeongea sana...nimemuelekeza na kumkumbusha sana lakini hamna kitu...nikamwambia Ashukuru namuogopa Allah siwezi kumkosea Mola wangu...la sivyo ningemtafutia mtu mwenye akili ya kujua huyu ni Mume...mali adimu sana...

Nitakachofanya ni kumtafutia mke mwenzie tu...alafu washindane...
 
Pole sana Mkuu.

Mheshimiwa nimeongea sana...nimemuelekeza na kumkumbusha sana lakini hamna kitu...nikamwambia Ashukuru namuogopa Allah siwezi kumkosea Mola wangu...la sivyo ningemtafutia mtu mwenye akili ya kujua huyu ni Mume...mali adimu sana...

Nitakachofanya ni kumtafutia mke mwenzie tu...alafu washindane...
 
Msijibweteke...

Mwanamke Mpumbavu ataivunja ndoa yake mwenyewe.

Msichukulie poa eti ' he is my husband now'..... You be like " I own him"..
Pumbavu wewe mwanamke mwenye akili na mawazo kama hayo.

Unaanza kujiachia kipumbavu tu....

You used to make a dinner for ur husband ...you dont do more..

You used to make a bath or prepare one for ur husband...you dont do no more.

You used to eat together ....you dont do it no more.

You used to ask him out when in courtship but after marriage u never did...

You used to make a bed, well dressed.. You dont do it no more...

...aisee yako mengiiii... Nsiwachoshe. Ila nawakumbuhsha wanawake ambao mpo kwenye ndoa na mnajisahau..

Mnaanza kuwa legelege. Mind you ..just mind you.. Huko pembeni kuna watu wanafanya yootee on ur behalf...

I'll be back.
Tell them,business as usual,halafu waanze kulalamika eti,mume wangu katekwa akili kichawi na nyumba ndogo...
 
Mheshimiwa nimeongea sana...nimemuelekeza na kumkumbusha sana lakini hamna kitu...nikamwambia Ashukuru namuogopa Allah siwezi kumkosea Mola wangu...la sivyo ningemtafutia mtu mwenye akili ya kujua huyu ni Mume...mali adimu sana...
Nitakachofanya ni kumtafutia mke mwenzie tu...alafu washindane...
Mpige vibao viwili vitatu...
 
Back
Top Bottom