AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Huyu siwezi kumnyoosha mimi...ila mke mwenzie tu...ngoja nimletee ndio atashtuka...Mpige vibao viwili vitatu...
Huyu siwezi kumnyoosha mimi...ila mke mwenzie tu...ngoja nimletee ndio atashtuka...Mpige vibao viwili vitatu...
Wasipokuelewa hapa hawatokuelewa tena.Msijibweteke...
Mwanamke Mpumbavu ataivunja ndoa yake mwenyewe.
Msichukulie poa eti ' he is my husband now'..... You be like " I own him"..
Pumbavu wewe mwanamke mwenye akili na mawazo kama hayo.
Unaanza kujiachia kipumbavu tu....
You used to make a dinner for ur husband ...you dont do more..
You used to make a bath or prepare one for ur husband...you dont do no more.
You used to eat together ....you dont do it no more.
You used to ask him out when in courtship but after marriage u never did...
You used to make a bed, well dressed.. You dont do it no more...
...aisee yako mengiiii... Nsiwachoshe. Ila nawakumbuhsha wanawake ambao mpo kwenye ndoa na mnajisahau..
Mnaanza kuwa legelege. Mind you ..just mind you.. Huko pembeni kuna watu wanafanya yootee on ur behalf...
I'll be back.
Nile chakula alicho pika binti wa kazi? Athubutu yake...Haswa!!
Utasikia mume wa mtu analalamika kila siku sijala nikashiba sababu ya ubovu wa chakula ninachopikiwa na dada wa kazi, ukimwambia mkeo si akupikie utasikia yule ni mvivu, anabweteka sana tofauti na mwanzo...Nikisema niongee nyumbani amani inapotea, ndio maana najichelewesha kurudi nyumbani baada ya kazi maana sina kiniwahishacho, labda watoto tu.
Wategemea mtu kama huyu akutane na mwanamke wa pembeni anayejali na kujua mwanaume anahitaji kufanyiwa nini atachukua hatua gani zaidi ya kuweka kambi?
Aiseee....!!Nile chakula alicho pika binti wa kazi? Athubutu yake...
Kuna mahali wanaume tunakosea tukiingia kwenye ndoa, kumruhusu mke kuwa na marafiki wengi,ambao kwa asilimia kubwa wanafundishana viburi kwa kigezo cha kutafuta usawa.
Wanaume wengi hawajihusishi na shughuli za jikoni,kuna muda wa kukaa na mke jikoni na kusaidiana kupika na kuandaana/kupeana umbea wa mtaani/kazini hali ambayo umpunguzia mke kubeba beba maneno kuya peleka kwa shoga zake.
Mke anakanyika tena kwa kumwangalia kwa jicho la kimbuzi mbuzi.
Mke akisema hajisikii tumia mafuta ya nazi... Nyge zitaamka zenyewe na kiuno atanyonga
Hahahaaaaaaa!!!!! Mzee wewe umetisha[emoji23]Nile chakula alicho pika binti wa kazi? Athubutu yake...
Kuna mahali wanaume tunakosea tukiingia kwenye ndoa, kumruhusu mke kuwa na marafiki wengi,ambao kwa asilimia kubwa wanafundishana viburi kwa kigezo cha kutafuta usawa.
Wanaume wengi hawajihusishi na shughuli za jikoni,kuna muda wa kukaa na mke jikoni na kusaidiana kupika na kuandaana/kupeana umbea wa mtaani/kazini hali ambayo umpunguzia mke kubeba beba maneno kuya peleka kwa shoga zake.
Mke anakanyika tena kwa kumwangalia kwa jicho la kimbuzi mbuzi.
Mke akisema hajisikii tumia mafuta ya nazi... Nyge zitaamka zenyewe na kiuno atanyonga
Unataka kuchepuka wewee[emoji3] [emoji3] ,muoe tuuUmeoa au umeolewa mkuu?
Mpenzi nimekosa nini kwako? Ninavyokuelewa hawa wengine nawaona kama wanaume wenzangu tu.Unataka kuchepuka wewee[emoji3] [emoji3] ,muoe tuu
Sasa si mtuambie wake zenu ,tusitumie mawigi hampendi mkuu[emoji3]Wigi zinavunja mahusiano kwa kasi ingawa halisemwi. Ile style mnalala mmetugeuzia mgongo ndo pua inagusa wigi yaani harufu ya makemikali tu. Inasemekana humu ndo mabeberu wanaweka madawa ya kupunguza nguvu za kiume halafu mnasema hatuwafikishi afcon kumbe nyie ndo mnaturoga kwa kuwmini nywele za kizungu ndo Bora kuliko kipilipili yenye harufu ya kuamsha mkuyenge.
Kama ni issue ya wigi + rasta mtaacha wangapi mkuu?? Maana wasiotumia hizo mambo wachache sana.Wigi zinavunja mahusiano kwa kasi ingawa halisemwi. Ile style mnalala mmetugeuzia mgongo ndo pua inagusa wigi yaani harufu ya makemikali tu. Inasemekana humu ndo mabeberu wanaweka madawa ya kupunguza nguvu za kiume halafu mnasema hatuwafikishi afcon kumbe nyie ndo mnaturoga kwa kuwmini nywele za kizungu ndo Bora kuliko kipilipili yenye harufu ya kuamsha mkuyenge.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaaaaaaa!!!!! Mzee wewe umetisha[emoji23]
Ni vile tu umezeeka ningejikabidhi kwako na mahali ningetoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Haswa!!
Utasikia mume wa mtu analalamika kila siku sijala nikashiba sababu ya ubovu wa chakula ninachopikiwa na dada wa kazi, ukimwambia mkeo si akupikie utasikia yule ni mvivu, anabweteka sana tofauti na mwanzo...Nikisema niongee nyumbani amani inapotea, ndio maana najichelewesha kurudi nyumbani baada ya kazi maana sina kiniwahishacho, labda watoto tu.
Wategemea mtu kama huyu akutane na mwanamke wa pembeni anayejali na kujua mwanaume anahitaji kufanyiwa nini atachukua hatua gani zaidi ya kuweka kambi?
Hahahaha!!! Mbio za nini mkuu?[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]