Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,186
Huku kujidanganya ndio kunakowagharimu mpaka unakuja na thread kama hizi.Tabia huwezi kujua zote afterall kwa kizazi hiki ukijifanya kuchunguza ndo hutakuja kuoa kabisa...
Huku kujidanganya ndio kunakowagharimu mpaka unakuja na thread kama hizi.Tabia huwezi kujua zote afterall kwa kizazi hiki ukijifanya kuchunguza ndo hutakuja kuoa kabisa...
Aisee! Nimelipenda hili jibu. Nimekumbuka nilishawahi pewa jibu kama hili tongozo [emoji3].haya!umeeleweka
Yaahh hyo pointDuuh kama ungemweleza tu vizuri kuna tatizo? Ulivyoeleza hapa atakuwa kapata ujumbe? Hii ngumu kumeza,ila busara ungekaa nae tu kumwelewesha na umuulize kwa nini kabadilika