MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,086
ni bora ukamsaidia wewe kufua aiseee khaa msituchosheHahaha kucha zimepakwa rangi alafu ndefu nguo anafua tu juu juu hata hazitakati vizuri
ni bora ukamsaidia wewe kufua aiseee khaa msituchosheHahaha kucha zimepakwa rangi alafu ndefu nguo anafua tu juu juu hata hazitakati vizuri
Majibu yako yameniambia kitu.ni bora ukamsaidia wewe kufua aiseee khaa msituchoshe
Kabla hujaoa atakuonyesha heshima ya hali ya juu akija gheto mara kafua nguo, mara kaosha vyombo, ukikaa kidogo umpikiwa huku anafua nguo. Oa sasa awe mke kamili vitimbi vinaanzaKabla hujamuoa huchunguzi tabia?!
Ndio faida ya kutongoza asubuhi mchana uchumba jioni ukumbini kucheza kwaito..... Usicheze na kizazi cha DOT.COM
Haha sasa mi nilijifanya mjuaji nikaenda mkoa nikarudi na jiko kwa kuamini huyu tutajengana tabia zifanane kwa njisi tutakavyo taka,alipojua mlimani city ni wapi,million hair saloon iko wapi,najuuuuuta wallai.Lakini kuna tabia nyingine pia unaweza ambiwa hata na watu
Watu wananyima ugali sio maneno mkuu
We umeolewa au umezalia nyumbani?ni bora ukamsaidia wewe kufua aiseee khaa msituchoshe
Duuh pole sana,ila nenda nae taratibu tu mkuu hakuna mtu asieelewa. Mwisho wa siku atakaa sawa tuMaana yangu ni kwamba nilishashauri mpaka nmechoka,mwanzoni hakua hivi!
natafuta walau bwana anilipie kodi nimzalie !ukiskia nistue tu kwakelWe umeolewa au umezalia nyumbani?
Duu sasa kama ulienda mfata tu mkoani, tabia yake uliichunguza kwa muda ganiHaha sasa mi nilijifanya mjuaji nikaenda mkoa nikarudi na jiko kwa kuamini huyu tutajengana tabia zifanane kwa njisi tutakavyo taka,alipojua mlimani city ni wapi,million hair saloon iko wapi,najuuuuuta wallai.
Hahahahaaa eti limeniganda! Hapo ndo watoto wa kike tunakosea,mpaka umeshamwambia hajistukii akabadilika basi kweli limekugandaHili nnalo na limeniganda..kwa jinsi alivyokuwa akijibehave mwanzoni hata mzazi nikimwambia haya Mimi ndo nitaonekana mkorofi