Commander Dalton
Senior Member
- Feb 10, 2018
- 198
- 264
- Thread starter
-
- #41
Kulea hakuna shida ila kulea asiye wako ndio shida, atakapojitokeza baba wa mtoto halisi anadai mwanae huku akijinadi kwa tambwe kuwa ni mwanae, huku na wewe pia ukijua sio wako.Kwani kuna shida gani kulea?
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee acha zakoKaona uhakika wa kulea mimba unao so usimtenge mwezie msaidie kama alivyokusaidia shida yako
Ko koo kooo nyauuuuu nakuonaaaa nakuonaaaaaHalafu tarehe 9 siku ya wababa waliotelekeza watoto wao[emoji16][emoji16]
Mi huyo mwanaume aliyepump mimba mi simjui sio ndugu yangu [emoji3]Mtoto wa nduguyo ni wako pia. [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. [emoji23] [emoji1] [emoji119]Mi huyo mwanaume aliyepump mimba mi simjui sio ndugu yangu [emoji3]
Bado sijaokoka nikiokoka nitakutag[emoji125]Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. [emoji23] [emoji1] [emoji119]
HeheheeFikra zako zilikutuma kuwa nilimpandisha gari binafsi.
Chumba nimepanga uswazi ukitaka kulala unashikilia mlango usidondoke, nitatoa wapi gari
nilimpandisha daladala
HahahaahaUshaambiwa walitafuta usafiri,hapo huwenda tax au boda iliwapeleka tu ikawaacha sasa jombii unakimbilia kuona watu waongo,haya tupe ukweli wako ww! Mijitu mingine kama imelogwa yani.
Watu mko makini....hehehe[emoji2] [emoji2] [emoji2] , ila aliyekojoa ni mwanamke.
HahahaaWatu mko makini....hehehe
Utapigwa radi wewe [emoji1] [emoji23] [emoji119]Bado sijaokoka nikiokoka nitakutag[emoji125]
Kumkataa demu kisa kadungwa mimba na njemba mwingine huo ni ushamba na kujipa stress za bure.Kulea hakuna shida ila kulea asiye wako ndio shida, atakapojitokeza baba wa mtoto halisi anadai mwanae huku akijinadi kwa tambwe kuwa ni mwanae, huku na wewe pia ukijua sio wako.
Hizo fedheha uko tayari nazo mkuu?
Labda kwako ni sawa lakini kwangu hapana maana binadamu tunatofautiana mtazamo.Kumkataa demu kisa kadungwa mimba na njemba mwingine huo ni ushamba na kujipa stress za bure.
Mwanamme halisi hulea bila kujali kama ni mimba yake au la!
Nasisitiza kuwa hamna shida.