Wanawake mjifunze kukata viuno

Wanawake mjifunze kukata viuno

Inategemea kaongea katika mazingira yepi

Ila sioni tatizo na nivema kufundisha hayo kwakua ndoa ni unyumba
 
Amani ya iwe nanyi watu wa Mungu,

Kwa wale mnoendelea kusubiri noa kazi kwenu, endeleeni na imani yenu itawapatia noa.

Km kichwa cha habari kinavyosomeka na hayo si maneno yangu Bali ni maneno kutoka kwa Mch mmoja kwa jina km sikosei anaitwa Mitomingi.

Mch kuwafundisha washirika wake kwamba wakajifunze kukata viuno ni sahihi? Zaidi anatoa na mfano kabisa kwamba Magomeni kuna mwanamama shangingi ndio kazi yake ya kufundisha wanawake kukata viuno na malipo ataleta baada ya kupata faida ya hicho alichojifunza kwake

Watu wa Mungu ni sahihi mafundisho km haya kufundishwa na Mch ndani ya kanisa?

Karibuni

Hawa wachungaji wengi ni wasanii tu, na wajinga ndiyo waliwao always.
 
Maumbile wametofautiana, wengine haijulikani mwili uko wapi na kiuno kiko wapi, akikatika anaanzia shingoni mpaka miguuni.
 
Uyo atakuwa wakala wa shetan,sio mchgj!
 
Kuna vitu 2 huwa vina changanya ,kuna dhambi na kosa,mch,yupo sahihi kulingana na mazingira hayo ,kwa sababu hakubiri kanisani ,ni kwenye mafundisho ya wanawake coz hatafurahi kuona ndoa za washirika wake zikivunjika kizembe,rutu aliambiwa na MkwE wake nn ,akafanye kwa boazi?big up pastor
 
Mkuu pia nimemkubali

Mitimingi hongera sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom