habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
- Thread starter
- #21
Kwann?inaweza ikawa sahihi na vilevile isiwe sahihi
Kwann?inaweza ikawa sahihi na vilevile isiwe sahihi
Naamini kaz ya mch na shekhe hazitofautian, kwakuwa wote ni viongozi wadini, wanachotofautiana ni imani tu lkn wte wanawajibu wa kuwafunza na kuwahimiza watu wao kuwa na maadili mema na kufanya kaz kwa bidii kujiletea maendeleoMimi ni Muislamu habar za wachungaji kuruhusiwa kukata viuno sitaweza kujua km ni sawa au si sawa.
Hii habari ya noah usifikiri watu wako serious wanasubiri kupewaNdugu yangu “Habari ya Hapa”, habari unayoizungumzia nyingine lakini unaanza na mambo ya watu kupewa Noah za bure! Nimekuwa nikisoma humu mara nyingi sana kuhusu hili suala la Noah za bure! Haya mawazo ya Noah za bure sijui yametoka wapi maana kuwaza na kutamani na mpaka kufikia hatua ya kuandika kuhusu Noah za bure ni utumwa fulani wa kupenda kupewa vitu vya bure. Kwa vile inayosemwa kutoa hizo Noah bure ni Serikali basi watu hao wanaoshabikia wazo la Noah za bure wanaona ni haki yao kupata vitu bure kutoka Serikalini! Haya ni mawazo dhaifu na ambayo ndiyo yalileteleza watu kuwa wanajichukulia au kuiibia hovyo Serikali kwa kuamini kwamba ni haki yao kufanya hivyo. Acheni kuwa na mawazo hayo ya kimaskini na ya kipuuzi. Mtu mzima unazungumzia kupata vitu bure kutoka Serikalini century hii ya 21 na anaona ni busara, kweli? Watu kama hao ndiyo wanaweza kuiibia nchi na Serikali kwa kufikiri wanachukua kilicho chao. Acheni upuuzi huo. Mtu akitaka Noah anunue mwenyewe siyo asubiri Serikali imletee bure! Hakuna Serikali yoyote inayotoa hata baiskeli bure kwa wananchi wake.
ALIKUA ANAFIKISHA UJUMBE KWA MAMA MCHUNGAJI KIAINA!Ni sahihi mch kufundisha waumini wake wakajifunze kukata viuno?
Ana Katika Vipi Mkuu?Kuna Madada Wana Viuno Vigumu Sana Kiasi Kwamba Akianza Kukatikia Dushelele Unabaki Kucheka Tu
OK kwa upande Wangu uislam ni dini yenye kuhusu mfumo mzima binadamu kuanzia kuzaliwa mpk kufa . Kwa hiyo haujaacha kitu kila kitu Kiko wazi katika Quran. kwenye Swala la ndoa wanandoa mnatakiwa mfurahishane kadri muwezavyo mradi msifanye vitu vilivyoharamishwa katika dini Mfn kumuingilia kinyume na maumb mwanamke. Au kujimai na mwanamke katika siku zake nkNaamini kaz ya mch na shekhe hazitofautian, kwakuwa wote ni viongozi wadini, wanachotofautiana ni imani tu lkn wte wanawajibu wa kuwafunza na kuwahimiza watu wao kuwa na maadili mema na kufanya kaz kwa bidii kujiletea maendeleo
Wachaaa weeeeeeHaaaaa wale team vyuma kukaza tunalo nahitaji kungwi mie niwe na kiuno feni
Lakini mkuu kazi za buchani zinawapendeza zaidi kina baba!Ndo waende magomeni, nasikia anafundisha bure ukienda ukafanikiwa ndo utampelekea zawadi
shoga??? TafadhaliHahahaha mkuu hakutaja hadharan mawasiliano yake,
Ila km wataka nje ya huyo mama wa magomeni, mtafute anti Jimmy utakuwa mkufunzi
kwa kuzingatia umuhimu wake na mahala husikaKwann?
HahahahahMbinu wanazotumia kupiga mizinga wangekuwa nazo kwenye viuno Ndoa zingedumu sana!
We Lissa Lee; acha utani;kwani vina raha gani haswaaaa