habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Amani ya iwe nanyi watu wa Mungu,
Kwa wale mnoendelea kusubiri noa kazi kwenu, endeleeni na imani yenu itawapatia noa.
Km kichwa cha habari kinavyosomeka na hayo si maneno yangu Bali ni maneno kutoka kwa Mch mmoja kwa jina km sikosei anaitwa Mitomingi.
Mch kuwafundisha washirika wake kwamba wakajifunze kukata viuno ni sahihi? Zaidi anatoa na mfano kabisa kwamba Magomeni kuna mwanamama shangingi ndio kazi yake ya kufundisha wanawake kukata viuno na malipo ataleta baada ya kupata faida ya hicho alichojifunza kwake
Watu wa Mungu ni sahihi mafundisho km haya kufundishwa na Mch ndani ya kanisa?
Karibuni