Wanawake mabikra tukutane hapa

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.

Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.

Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...

Karibuni
Hongera sana binti, Bikira.

Kuwa na bikira tu haitoshi.Inabidi uyashinde vishawishi vyote vya kingono hadi pale utakapompata mwenzi wa maisha yako.

Usimtamani yeyote.Ukishamtamani basi hiyo bikira yako inakuwa haina thamani yeyote ile.

Pia kwanini umeuleta uzi wa namna hii jamvini?.Huoni kuwa hii ilibaki kuwa siri yako pekee?.Nina wasiwasi na Hiyo bikra yako (Silazmishi uniaminishe kwa chochote).

All the best.
 
Kwa miaka 29 kuwa na bikira siwezi kukuamini labda nione picha yako. Na sio kwamba nasema hivyo sababu nashobokea hizo bikira, hapana nshawahi kuzitoa kadhaa ni usumbufu tu hamna chochote.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.

Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.

Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...

Karibuni
Unajizuia vipi unapopata msisimko wa kufanya mapenzi????please don't lie us kwamba husikiagi hamu ya kufanya mapenzi
 
niliwahi kutongoza demu mara ya kwanza alinikatalia eti yeye bikira hajawahi..
siku aliyoachia aliniambukiza na kisonono..
kumbe kazoefu.
 
Back
Top Bottom