Wanawake mabikra tukutane hapa

sasa dada sinijibu la swali lako[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usikimbie sasa njoo. Kwani nimeuliza maswali mangapi jamani. Ila mdogo wangu una visa weyeee.

Haya bana tufanye yameisha. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kwa majibu haya huwez kua na bikra hata ile ya limao
At the end of day kutoka itatoka tuu na utakua hauna jipya tena
 
Kweli sisi wenye "bikira" hadi Leo hii, na hii hali ngumu ya uchumi tumevumilia tusikate tamaa tujitunze hadi siku tutakapo ingia kwenye ndoa na mwanaume asiye "bikira"
 
Usikimbie sasa njoo. Kwani nimeuliza maswali mangapi jamani. Ila mdogo wangu una visa weyeee.

Haya bana tufanye yameisha. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji12] nije ili unichape.... Nasasaivi sina wakunitetea babu yangu simuoni

cc: Daby
 
niliwahi kutongoza demu mara ya kwanza alinikatalia eti yeye bikira hajawahi..
siku aliyoachia aliniambukiza na kisonono..
kumbe kazoefu.
Ukaenda kavu mwenyewe ukidhani yupo salama!!!
 
Kweli sisi wenye "bikira" hadi Leo hii, na hii hali ngumu ya uchumi tumevumilia tusikate tamaa tujitunze hadi siku tutakapo ingia kwenye ndoa na mwanaume asiye "bikira"
Hairuhusiwi kukata tamaa. Na tutawapata tu mabikra wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…